Mishahara hakuna mpaka leo 31, manisaa ilala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara hakuna mpaka leo 31, manisaa ilala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpatanishi, Aug 31, 2012.

 1. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wakuu.
  Mm ni mtumishi wa umma idara ya elimu. Mpaka leo tar 31 mishahara haijaingia bank.

  Inasemekana hela za mishahara wamelipwa watu wa Sensa mana waligoma na serikali haikua na hela.

  Hivi hii haki kweli? Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara wakati muafaka? iweje mishahara ya watu ifanywe posho za sensa?
  Ikumbukwe wilaya ya Kinondoni wamelipwa mishahara tangu tar 24 tena kwa mafungu, temeke wamelipwa jana. Ilala naona wahusika wamekausha tu ila wajue kabisa wasipotoa leo jioni basi jumatatu patachimbika tumechoka na Upuuzi wao.

  Kwa kweli navumilia kuwa mtanzania..
   
 2. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  karibu cdm nchi hii inahitaji mabadiliko
   
 3. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utalipwa kesho kaka si unaona mwezi haujaisha?
   
 4. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Vumilia mkuu, enzi zetu za ustaadhi rukhusa Mwinyi tulisubiri mshahara mpaka tarehe 47, na wengi wa enzi hizo tuliishia kuoa mama ntilie waliotufaa wakati wa shida
   
 5. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,482
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kama kuna halimashauri ambazo zimwshalipa wafanyakazi mishahara yao basi hilo ni tatizo la halimashauri yako. Mishahara ikitoka inatoka kwa wafanyakazi wote.
   
 6. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mm ni Cdm kaka nakerwa na huu upuuzi this z too much
   
 7. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kaka mwez ndio unaisha huu. Kama vp tuuze mali za ofisi tuweze kujikimu, waache upuuz hawa kamashahara kenyewe kaduchu je wanategemea salary ya july mpaka leo itakuwepo?
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mkiambiwa habari za mabadiko mnsema ccm imewalea,na wakati mwingine mnanunuliwa kwa pesa ya siku moja,hangaikeni.
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah nimecheka sana mkuu japo nina hasira
   
 10. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sema kale ka EID kalikuja vibaya mi mwenyewe niko vibaya. Tupeane pole tu
   
 11. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  sisi wa dot com ndio tunaendesha m4c madarasani mamajack usijali kura zitakazoiondoa ccm madarakani nyingi zitakua za wanafunzi na watumishi wa umma.
  Mark my words.
   
 12. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah kaka eid ndio ilikua mbaya sana aisee dah acha tu mkuu wangu
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa bora nyie wa serikalini.Sie wa sekta binafsi za magumashi mshahara kutoka tar 55 kila mwezi ni kitu cha kawaida kabsa!
   
 14. m

  mamajack JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umenena vema mwlm!
   
 15. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah pole kaka ila nyie si mnachukua nusu japo tar 15 then tar 30 mnamalizia
   
 16. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  nahisi wewe utakuwa una double mail CHADEMA!
   
 17. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kakudanganya nani?Hizo policy zipo lakn Wagumu haoo ka nini sjui,mpaka upate the whole process is as tedious as applying for a Us viza from Iran!!
   
 18. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tupo pamoja mpaka kieleweke
   
 19. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haah haah watumishi wengi tunapenda cdm mkuu usawa huu mnyonge gani aipende magamba?!
   
 20. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haah umenifanya nicheke anyway pole mkuu
   
Loading...