I wapi ile tovuti ya Ccm tuliyoilia ubwabwa na muziki wa Nape pale Dom?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Nauliza tu, mwenyekiti alizindua nasi tukala ubwabwa na burudani ya muziki, vp mwenezi inapatikana kwa anuani gani?
 
Tatizo la kuigaiga mambo wakati hata hawajui umuhimu. hivi ccm mafisadi/majambazi kweli walikuwa serious kwenye hili?? i doubt, nadhani ni kiherehere na kuwashwa kwa ZUZU nape ndo kulipelekea kukurupukia jambo ambalo chama chake hakilihitaji. it was a MERE SHOW OFF.


Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Back
Top Bottom