Naambiwa budget ya sensa ya mwaka huu ni Tshs160 Billion. Jana nikakutana na Mwenyekiti na Katibu Mtendaji wakaniambia mpaka sasa hawajalipwa na hata wakilipwa haitazidi shs 150,000 kwa mtu...
Sina hata haja ya kutoa maelezo mengi, leo Ijumaa ndiyo mwisho wa Sensa na kwa jinsi ambavyo nimeshuhudia zoezi lenyewe lilivyopelekwa pelekwa kwa vyovyote vile limefeli, tungoje idadi ya uongo...
ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako,hubiri jukwaani kwamba watu waheshimu utawala wa sheria,himiza hakuna mtu aliyejuu ya sheria,hakikisha unakataa katakata...
Surestream Petroleum awarded exploration licences in MalawiSurestream Petroleum Limited is pleased to announce that it has been awarded new exploration licences in Malawi. It has secured Blocks 2...
T 000 CCM
T 000 CDM
T 000 CCK
T 000 CUF.
Mtu mmoja amekataa usajiri wa gari lake baada ya kupewa namba T xxx CCM akidai kuwa inamdhalilisha. Ameomba abadilishiwe au atasubiri mpaka hiyo CCM...
Tanesco wanasema wanatoa namba mbili za kuingiza kwenye luku kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa mwaka huu na kuwa wamebandika orodha ya wakala watakatoa namba hizo kwenye ofisi zao. Nimejaribu...
Leo Lowassa anatimiza miaka 59 tangu alipozaliwa binafsi simutakii maisha marefu mpaka arudishe maisha ya watanzania walikufa kwa kukosa madwa hospitalini huku yeye akijichotea mabilioni...
Nimekuw nikifuatilia Matangazo ya kazi mbalimbali kwa NGOs mbalimbali hasa kwa nafasi za kati na nimegundua NGOs kama OxFAM, RLDC na JIHPIEGO ni NGOs pekee hapa TZ zinalipa mishahara mizuri na...
Kama waekezaji wageni hawatakiwi Isimani, hawatakiwi Tanzania nzima
Lukuvi awakataa wawekezaji Isimani
Wednesday, 29 August 2012 21:04
Mbunge wa Isimani...
Kabla na baada ya zoezi la sensa ya watu na makazi kuanza kumekuwa na mjadala unaoonesha kuwa baadhi ya watu hapa nchini bado hawajaona manufaa au umuhimu wa zoezi hilo.
Hadi sasa kuna makundi...
Mh. msigwa mbunge iringa Mjini, amewaandalia chakula cha jioni makamanda wa chadema wailio piga kambi mkoani iringa katika muendelezo wa mikutano ya M4C.
source: MH. PETER MSIGWA BLOG
Hali si shwari katika manispaa ya Bukoba baada ya mabasi yaendayo wilaya za mkoa wa Kagera kuendelea na mgomo.
juhudi za kujadili kero zao na mkurugenzi wa manispaa zimegonga mwamba baada ya...
Sababu za ardhi kuwa ghali sana nchini, hususan jijini Dar ziko nyingi. Mojawapo ni hii ya wageni kumiliki ardhi kinyemela.
Je, tunao wajibu wa kulisaidia jeshi la Polisi ili wageni wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.