Ufisadi in the making

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,017
7,220
Kuna forum ya India ya mijadala ya kilimo.

Huwa naitembelea kupanua mawazo juu ya kilimo katika nchi ambayo ni maskini lakini ina maendeleo ya kuridhisha.
Katika pitiapitia katika blog hiyo nimekuta member amepost thread ya kuuza ardhi kubwa sana Tanzania. Kwa kuwa member amewahakikishia wanunuzi kuwa ardhi yenyewe ina lease na kutokana na ukubwa wa ardhi yenyewe nimeshtuka kidogo!
Kuna uwezekano this is another ufisadi in the making...

Thread yenyewe hii hapa 10,000 hectare land available in Tanzania - AgricultureInformation.com
 
Serikali ya msanii "JK Promotions" aka Mr. Dhaifu
 
Hilo lazima litakuwa ni limwanachama la CCM Limezoea hela za EPA sasa linaanza kuuza rasilimali ili liendelee kutumbua anasa Kama kawaida Yao
 
Jaribu kuregister ujifanye mnunuzi. Atakupa details lilipo eneo linalouzwa, then utamjua tu. The ad is fresh as it was posted in August.
 
Hata me nimegairi sitaki tena pilot nikiwa mkubwa, nataka kuwa fisadi when i grow up
 
Ze Marcopl, with due respect, do we have any option? Mbona tulishawekwa mfukoni na hao jamaa?
 
mbona kawaida tu, ni serikali sikivu inayodumisha mshikamano na umoja
 
Hawa mafisi wakimaliza kuuza ardhi yetu na raslimali zake watawauza mama zao kabla ya kuuza masaburi yao. Yaani tumefikishwa hapa na hatustuki yarabi!
 
Back
Top Bottom