Sijahesabiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijahesabiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sangarara, Sep 1, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Jana asubuhi sikwenda kazini, nikafika kwenye ofisi za afisa mtendaji wa kata kutoa taarifa kwamba Mimi na Familia yangu hatujahesabiwa, nikawaelekeza ninapoishi na wakaniambia kabla jua halijazama ntakuwa nimeishahesabiwa, mpaka sasa napoweka taarifa hii hapa bado sijahesabiwa. wana JF wangapi hawajahesabiwa mpaka sasa.

  What political implication does this inefficiency portray?
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  mimi pia hawajatokea!
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acheni ujinga sensa imeongezwa hadi wiki ijayo
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sensa hii ni kama tiba ya mganga wa kienyeji akiona mgonjwa haapona anaanzisha blah blah.

  Nimeona mapungufu mengi sana.
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata mimi cjahesabiwa,tuendelee kusubiri,
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ujinga hapo ni nini?au ni upi?
   
Loading...