nyumba ya mama Maria Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nyumba ya mama Maria Nyerere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by snochet, Aug 29, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nimetoka kuangalia ITV wameonesha wanajeshi wa Tanzania,wameenda kumtembelea nyumbani kwake na kusaidia katika kazi za nyumbani.

  Nimeona nyasi walizokuwa wanafyeka wanajeshi hao,kweli zinatisha. Ina maana Mama huyu hajapewa wafanyakazi wa kusaidia kuweka usafi nyumbani kwa mtu muhimu kama huyu?.

  kama kuna mhusika humu ndani na anaweza kusaidia kurekebisha mambo.

  Nawasilisha.
   
 2. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,888
  Trophy Points: 280
  mzee wa watu aliishi hivyo mkuu na nahisi uzao wake wa sasa utaishi hvyo, dat z true socialism.
   
 3. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wameshindwa kuifanyia usafi Nyumba kubwa (TANZANIA), hivi kweli wataweza kufanya usafi nyumbani kwa Baba wa Taifa? Nyumba kubwa (TANZANIA) haina mwenyewe tena (baba wa Taifa).Wale wote waliokuwa wanakula na kunywa kwa kunyenyekea pale Msasani au Butiama sasa hivi ni mafisadi wenye magamba! Hongera wanajeshi kwa kuendelea kumuenzi na kumkumbuka Amiri jeshi mkuu wa kweli,mpiganaji,Baba wa Taifa na Simba wa Afrika Julius Kambarage Nyerere.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Analipwa pesa za kutosha
  wakata nyasi sio lazima watoke serikalini
   
 5. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160

  Amezaa na ana watoto as well......sie mama zetu wanakatiwa nyasi na nani?????
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,181
  Trophy Points: 280
  Where is Ganesh when you need him?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Maria Nyerere mama mpendwa kwaheri mama, twakutakia mapumziko mema. Kumbe ndo hayo ya kuishi na kichaka duh mafisadi wamemsahau mama yetu
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kwanza kukata nyasi nayo ni kazi ya kuita jeshi?
  seriously ..?
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  si bora yeye anaetembelewa na wanajeshi kumsaidia, wake wengine wa wastaafu waliokwisha fariki nani anawakumbuka hata kuwataja?
  Au nao hawana haki?
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mambo mengine yanashangaza sana, na sio wanajeshi pekee, na waandishi juu waje kushuhudia nyasi zinakatwa.
   
 11. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Na mwanaye ndo huyoo mbunge wa EALA.....nyumba ya mama mazingira tatanishi.....ndo tutatetewa sisi kajamba nani.....thubutuuu
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine jamani, hivi kweli hata kukata nyasi mpaka jeshi liende? sawa huyu mzee alifanya mambo mengi makubwa lakini sio kila kitu hii serikali ifanye..
   
 13. papason

  papason JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Yule 'mission town' opportunistic makongolo yuko wapi? anashindwa kutoa hata msaada wa kufyeka nyasi?
   
 14. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa kifupi huyu mama ni mchafu tu, mara nying mazingira ya home kwake huo ovyo ovyo..!! Naamin serikali inampa pesa kila mwez kama ilivyowah kusikika mwanzon, ila kwasababu ya uchafu wake ndo mana tunaona madudu hapo kwake, usafi kama huo hauhitaji pesa.. Tusiilaumu serikali, alaumiwe yee mwenyewe...!!
   
 15. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na madaraka nae yupo pia!
   
 16. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eneo ambalo limeenda kufanyiwa usafi ni eneo la wazi ambalo ni kiwanja cha pembeni baada ya nyumba kubwa ambayo anaishi Mama Nyerere, na kimsingi Mama Nyerere hajatelekezwa kama idhaniwavyo ana wafanyakazi wasiopungua 6 na eneo lake la makazi ni safi kwakweli wakati wote vijana hawa hulifanyia usafi na mazingira yanavutia hata eneo lote la nyumba kubwa lilifanyiwa ukarabati mwanzoni mwa mwaka huu; fensi nayo na kubadilishwa gate kuwekwa la kisasa, kama Andrew atapita mtaa huu nadhani atakubaliana nami.
   
 17. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Tambua upekee wa baba wa taifa
   
 18. gulio

  gulio JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nadhani bado ni muhimu kumpa company.
   
 19. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Tuwe na heshima na hisia katika ku-comment kwenye hoja nyingine. Uzito wa huyu Mama kwenye Taifa hili unautambua!!?? Rudi kwenu Malawi huko mkatengeneze Ulanzi. Usije kutafutia watu Ban humu. Chiya Chibi mkubwa kasoro mkia wee.
   
 20. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wee inaonekana hujui chochote kuhusu huyu mama, Unafahamu kuwa alishawah kutumwa na wazungu amwekee Nyerere sumu kwenye msos na yee akakubali?? Bahati nzur mzee alishtukia, na toka siku hiyo mahusiano yao ndan ya nyumba hayakuwa mazur..! Uzito gan unampa? Kwa Lipi? Then kumwambia mtu ni mchafu sio kumvunjia heshima, ni kumtaka abadirike. Leo wameenda wanajeshi kufyeka majani nyumban kwake, kesho ataenda nan? wewe? Mwisho; Mi sio Mmalawi ni Mtz, Bora69 ndo nin?? Kichwa chako..!
   
Loading...