Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi kama ni viashiria vya kuvuruga amani ndani ya Nchi basi ni pale Jeshi la Polisi litakapo ingilia na kuvuruga makubaliano ya yao kufanyika mikutano ya CDM huko Iringa, binafsi sioni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mtu akutwa amejinyonga hapa mzinga darajani kongowe,sasa haijulikani kama amenyongwa au amejinyonga.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mfanyabiashara wa mazao anaitwa HANDO na mkulima pia ametekwa na kuchukuliwa kiasi cha fedha milioni themanini, kwa habari zisizo rasmi kwani kwenye kupeana huko sisi hatukuwepo. Alishikiliwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
DR Slaa amesema BW S Sita alikkwenda mwemyewe CDM kutaka kujiunga , yeye amejibu walimfuata na baada ya kusoma katiba ya CDM akaona awezi tena kujiunga nao. HAYA NANI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
polisi wanazuia mikutano ya chadema eti serikali inadai zoez la sensa linavurugika,je haya matamasha ya FIESTA,na mikutano ya vyama vingine(mfano CUF walifanya mkutano buguruni ijumaa) hayavurugi...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Hamjambo wanaJF. Mimi nategemea kuja TZ wiki ijao, kwa likizo baada ya kuondoka TZ kwa miaka mingi. Ushauri ninaotaka ni kuhusu matumizi ya mawasiliano. Je naweza nunua Sim card JNIA (Airport) na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I have a vivid memory, siku anaongelea mgomo wa madaktari, alisema kuwa madaktari wataogezewa mishahara kama wafanyakazi wengine kati ya asilimia 15-20. Sio kweli, ni chini ya hapo tena sana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu Jumla ya WaTanzania waliohesabiwa katika sensa hii ya 2012 ni milioni 53 ,waliofikia umri wa kupiga kura ni milioni 47,waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 45. Taarifa ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani mbona watu wangu wanasahau sensa ya watanzania 2012? Nyie mlioko Takwimu, Mipango, Ikulu, na wadau wengine, mbona hatusikii lolote kuhusu sensa? Sensa ya mwisho ilifanyika 2002. Actually...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
ccm na serikali yao wameamua kuongeza muda wa sensa,tafsiri ni kukomoa Chadema ambao wanajipanga kushambulia Iringa! Strategy za kizamani zitasaidia kuikoa Ccm?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvii, Nimetafakari sana mstakabali wa taifa letu katika mfumo huu wa vyama vingi nikaona kuwa mbele kuna giza totoro. Hivi ni nani anapanga vipaumbele vya taifa letu? tunaliendesha taifa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa star tv sasa inazidi kuaminiwa,lakini nataka niwashauri waepuke tabia ya kuleta wachambuzi walewale kwa kila mada ,haiwezekani mtu mmoja awe na uwezo wa kuchambua kila...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Raisi JK amesema kwamba wale wote wasiohesabiwa katika siku 7 za mwanzo wataongezewa siku saba nyingine ila wanatakiwa waende kwa wenyekiti wao wa serikali za mitaa. Wadau mnaionaje hiyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Leo star tv William Malecela Kasema alikuwa moja wa waanzilishi wa JF lakini alilazimika kujiondoa kwa sababu ya Itikadi ya kisiasa. Je Zito kuandamana na JK kwenda Ethiopia inatoa picha gani?. Je...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habar wadau,naomba nitoe angalizo kwa yeyote yule kuwa kuna jamaa anajulikana kwa jina la TOZIR MALEKELA,huyu jamaa anapenda kujinasibu kuwa yeye anafanya kazi KITUO CHA UWEKEZAJI(T.I.C) na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani naombeni ushauri naona kama yatafika ukingoni halafu nisifurukute niliajiriwa serikalini katika halmashauri moja hv nimefanya kazi mwaka nikaacha nikafanyia private nikaomba muh2 nikapata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza huu mpango wao wa maboresho kwa nini wameuanzia wikiendi? Halafu hawakusema tangu mwanzo iwapo ni mawakala wao wakubwa tu ndiyo watahusika kutoa namba mbili za mwanzo, na siyo mamia ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii inakuwaje watu zaidi ya 800 kwa pamoja kuvamia mgodi wa ABG North mara kujaribu kuiba dhahabu mgodini ambapo watu wawili wameuawa, hivi sababu ni nini uonevu? Kukata tamaa ya maisha au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kuhesabu watu, ni dhahiri kwamba zoezi hilo halita nihusisha. Nimekuwa nawasubiri wanaohesabu watu kwa wiki nzima bila mafanikio na sasa naelekea kwenye shughuli za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nipo Kimara...nahitaji kujiunga na BAVICHA. Nini kinahitajika? Niende wapi? Naomba msaada wenu ndugu zangu. Nchi hii ni yetu...tuijenge SOTE!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…