Kuzuia mkutano wa chadema iringa ni kuvuruga amani tena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzuia mkutano wa chadema iringa ni kuvuruga amani tena.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CAT5, Sep 2, 2012.

 1. C

  CAT5 Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi kama ni viashiria vya kuvuruga amani ndani ya Nchi basi ni pale Jeshi la Polisi litakapo ingilia na kuvuruga makubaliano ya yao kufanyika mikutano ya CDM huko Iringa, binafsi sioni sababu ya kuzuia hiyo mikutano.
  Kuongezwa kwa muda kwa zoezi la sensa hakumaanishi Watz wasifanye shughuri zingine na sidhani eti kuwepo kwa mikutano Nchini ndio chanzo mojawapo cha kutofanikisha zoezi hili hata pale muda wa nyongeza kwa zoezi lenyewe ulipotolewa.
  Maelekezo yameishatolewa kwa wale wote ambao kwa sababu mbalimbali hawakuonana na makarani wa sensa wameishaelekezwa cha kufanya,sasa sioni kwa nini Polisi wa Iringa wapanie kusimamisha shughuri za Watz wengine kwa visingizio vya sensa?
  Naomba kujuzwa kwa hilo?
  Zoezi la sensa lina maana sana kwa Taifa,lakini pale ambapo hatuoni sababu ya kuingizwa vurugu kwa udhaifu wa maamuzi,ambapo karibu Watz wengi wameisha jiandikisha kwenye zoezi hilo.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ningeshauri na CDM nayo ioneshe compromising spirit.
   
Loading...