Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askari huyu yupo kwenye ulinzi wa tamasha la Fiesta mjini Shinyanga. Ni usiku,shati inaonekana kama kachomolea hivi, analinda watu? Hii ni haki? Ama kweli Polisi wamebakia kubinafsishwa tu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa wale ambao wanaendelea kuamini propaganda za wanasiasa kuwa cdm wanaleta vita na kuhamasisha vurugu yapasa wajiulize mara mbili. Angalieni hapa msije sema hatukuambiwa!
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Siku ya Jumamosi kaka yangukatika nyumba tunayoishi alikwenda kwa wakala wa Tanesco kama ilivyoorodheshwa na tangazo la shirika hilo na kununua umeme wa jumla ya uniti 35. Akapewa karatasi yenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
naishi eneo ambalo lina nge wengi sana mpaka huwa wanaingia ndani. Nahofia wasije wakasababisha madhara kwa mtoto wangu wa mwaka mmoja. kwa yeyote anayejua dawa ya kuua au kufukuza nge anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Zoezi la kuhesabu watu (SENSA) limeongezewa muda wa wiki moja baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya maeneo hayajafikiwa. Napenda kuwakumbusha kuwa ili kupata takwimu halisi ya Watanzania ni...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu ameacha mwangwi kwenye Mkutano wa Mawakili-AICC Arusha. Ameonesha jinsi asivyotetereka na kusimamia anachokiamini. Amethubutu kusema na kuwaita Mawakili...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwekezaji mgodi wa dhahabu tulawakwa kuufunga,madini yameisha!pia tanzania one tanzanite nao wataondoka karibuni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KISWAHILI KINATUSAIDIA SANA; Mara nyingine nawaza kwamba lugha yetu imetusaidia sana kulinda heshima ya nchi yetu, imetusaidia sana kuficha matatizo na habari nyingi mbaya zinazojitokeza kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemsikiliza huyu mama akihojiwa na sudi mnete wa idhaa ya kiswahili redio DW,amesema kwamba kuna watu 30 wamekamatwa wakitokea Iringa kwenda mbeya ambao wanawahisi ndio waliosababisha vurugu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Baada ya zaidi ya miaka 50, kwa mara ya kwanza nchi ya karibu 90% Waislamu, mtangazaji wa habari katika TV ya taifa, Kavaa hijabu. Egypt's Veiled Presenter in Breakthrough TV Appearance A...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If an Indian can get goods or services at cheaper than the asking price, he considers his day well spent. Here is a true incident that took place in NYC some time ago, to illustrate this point...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona na kusiki mwandishi mmoja katika kikao chao walichofanya hapo Morogoro akitamka kuwa Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani katamka kuwa marehemu ameuliwa na Bomu la machozi lililokuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nafuatilia kipindi cha makutano show magic fm muda huu saa 9 na robo alasili hii,, kuna huyu jamaa anaitwa sebo anashambulia CDM kama mtu aliyetumwa, anazungumzia vurugu na mauaji ya morogogoro...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha uhakika Mkuu alitembelea Madale siku ya ijumaa kabla ya safari na kuwaeleza wakazi wa madale Ujenzi ruksa kuendelea na ujenzi, na waliobomolewa walipwe.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Sauti zao wanyonge hazikusikilizwa kabisaa! Walijenga magorofa ya mabilioni ya fedha, wakala kwa starehe hawakuwakumbuka wanyonge hata kwa tone moja la maji na kipande cha mkate. Hapa napo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imefika wakati wa kujiuliza mara mbili mbili kama kweli Jeshi la Polisi lipo chini ya maslahi ya CCM Ni vema tukaangalia kwa kina juu ya utendaji wa jeshi hili na hali halisi ya mwananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Polisi wameua Igunga, Mbeya kwenye maandamano ya wafanyabiashara,Morogoro Iringa,Arusha,Maswa,mateso ya Dr. Mabwepande nk.Mabalozi wapo kimya kama hawapo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwenu Waandishi Wa Habari na Wamiliki Wa Vyombo Vya Habari Tanzania.Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mh katibu wa uvccm akihojiwa amewashauri viongozi wa chadema kujitathmini kama kweli wanaeza kuongoza kutokana na kila mara wanapofanya mikutano mauaji yanatokea kweli wanauwezo wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…