Said Ally Mwema,,IGP, angalia askari wako huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Said Ally Mwema,,IGP, angalia askari wako huyu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kassim Awadh, Sep 4, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  3[1].jpg

  Askari huyu yupo kwenye ulinzi wa tamasha la Fiesta mjini Shinyanga. Ni usiku,shati inaonekana kama kachomolea hivi, analinda watu? Hii ni haki? Ama kweli Polisi wamebakia kubinafsishwa tu.
   
 2. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huu ni mkusanyiko wa watu, sensa huko haifanyiki?.
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tuliwahesabu hapohapo uwanjani jana usiku, ila dodoso halionyeshi jinsia, kwasababu zilizokua nje ya uwezo wetu mpaka tume itakapoundwa kutoa taarifa, kwasasa endeleeni kua watulivu. Jinsia KE, ME.
   
 4. s

  said jaffary Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa hoja nakusifu kwa kuwa makini na kufuatilia na kuhakikisha kuona askari wanakuwepo ktk mikusanyiko kama hii ya with il I kuhakikisha ulinzi na usalama na Amani unakuwepo,ni matumaini Yangu huyo askari alikuwa anatekeleza wajibu wake ipasavyo kama ulivyoosha kwenye picha yako lakini kama angeonekana anacheza au anafanya jambo bays kulingana na taratibu na wajibu wa kazi zake halo angepaswa kulaumiwa sana na jamii hususani na wakuu wake.maoni Yang kwa we we mtoa mada kabla ujaandika Maada yeyote basi jaribu kufikiria kwanza na pia si kila picha inapaswa kuwekwa humu na mwisho inaonekana Hugo askari mnafahamiana sana na inawezekana mkwisha wahi kwaruzana ktk wakati akitekeleza wajibu wa majukumu Yake.nasema haya huku nikiamini kabisa hakuna askari hawezae kuwepo peke Yake na akiwa na mavazi ya kazi ktk umati MKUBWA wa watu kama Zhao ukizingatia kwanza ni usiku huu.
   
 5. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la makusanyiko ya namna hii sio mara ya kwanza kukuta Askari wakifanya wajibu wao wa msingi wa kuhakikisha Ulinzi unaimarika mahali hapo.
  Kawaida ni kwamba wahusika wa shughuli hizo waombapo vibali vya kufanya kusanyiko la aina hiyo basi huomba na msaada wa kupatiwa ulinzi hivyo sio geni machoni mwa wengi natumai wengi tunaliafiki kulingana na msaada watupatiao Askari hawa kiulinzi.

  Kuhusiana suala la Sensa shughuli hii ilikuwa inakoma saa 12 jioni na si usiku kama picha inavyoonekana.
   
 6. S

  Starn JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sensa haifanyiki usiku
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wewe hujahesabiwa wewe,,,,,
   
 8. S

  Starn JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nilihesabwa mchana
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sifa za kijinga
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  But kuna watu wanasafiri mchana kutoka vijiji vya mbali kuifata iyo FIESTA.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 11. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ama kweli anajua kulinda ........... manake yuko front line kabisa asije akashindwa kuona vizuri ........ mchezaji/mwimbaji jukwaani ......... ha ha ha haha ama kweli ASKARI MLINZI
   
 12. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mbona zoezi la Sensa lilianza usiku wa tarehe 25 kuamkia 26/8/2012 kwa wale waliokuwa guest, vituo vya mabasi!
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Hivi Fiesta haiingiliani na kuhesabiwa watu? Maana double standards zetu ndio chanzo cha mitafaruku. Kama kitu si halali basi kisiwe halali kwa watu wote.
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,627
  Trophy Points: 280
  kwa hesabu ya haraka, askari mmoja anahudumia watu kama buku moja hivi...likitokea timbwili si wanamdhuru within a second
   
 15. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,827
  Likes Received: 4,191
  Trophy Points: 280
  Au ni wewe?
   
Loading...