Maoni kwa star tv. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni kwa star tv.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingsley, Sep 9, 2012.

 1. k

  kingsley Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu amani inahubiriwa wakati haki haipo sio rahisi jambo hili "haki kwanza amani itakuja yenyewe"
   
 2. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Halafu kwa nini sasa hivi imekuwa ngumu sana kupata star tv mbeya? Signal ziko chini sana msaada wahusika tafadhali.
   
 3. k

  kingsley Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kweli wanakila sababu ya kuboresha huduma wakati mwingine haipatikani na ikipatikana ni chenga sana tunawapenda boresheni huduma .
   
 4. M

  Mgengeli Senior Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  STAR TV/RFA Boresheni huduma,mkiona watu wanawafuatilia huduma zenu,naomba mtafute na wachambuzi wengine si watu walewale kila siku
   
Loading...