TANZANIA, viwanda vingi vimekufa lakini cha bia, konyagi, na sigara vinatangaza faida kila kukicha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA, viwanda vingi vimekufa lakini cha bia, konyagi, na sigara vinatangaza faida kila kukicha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Sep 7, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kweli hii nchi yetu kichekesho.
  Wakati viwanda vinavyozalisha vyakula kama tanganyika packers vimekufa na vingine kama vya zana za kilimo nguo nk, viwanda vya kutengeneza ulabu, na sigara ambavyo kwa kifupi vinafupisha maisha ya mtanzania lakini ndio vinayoendeshwa kwa faida na havijatetereka,.
  Hivi ni kwa nini???
  Naomba majibu
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  na kwanini na wewe unaendelea kutumia ulabu na sigara, wakati ulishaambiwa ni hatari kwa afya yao, why izo pesa usiende kuwekeza kwenye kilimo angalau cha miogo tu, ukachemsha ukala na watoto wako.
   
 3. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwasababu tumetawaliwa kwa kiasi kikubwa na shetani na sisi wenyewe tumekubali kwa mikono miwili.Ushawishi wa shetani ni ushawishi unao mwangamiza binaadamu na kumfanya awe nyuma kimaisha na kuendelea kuwa masikini na kuendelea kuomba siku zote.Shetani anatushawishi ktk njia mbaya yenye kiza kinene na kutuondoa ktk njia nzuri yenye mwangaza mchana kutwa usiku kucha.Na ndio maana ukaona sisi wenyewe wenye kulalamika kuhusu maendeleo ndio sisi wenyewe wenye kuyafukuza maendeleo kwa uvivu,ubinafsi,ufisadi,wizi na coruption kila kona.Pombe ni kitu kinacholeta madhara makubwa kwa Taifa kuliko faida.Nchi za wenzetu ambao ndio watengenezaji mashuhuri wa pombe hawaitangazii pombe kama tunavoipa kipaumbele sisi na utakuta mabango makubwa ya kuhusu kiburudisho na hii yote ni kuharibu kizazi chetu wenyewe yaani tunauana wenyewe kwa wenyewe huku wao wakijitahidi kuwahatarisha jamii zao madhara ya pombe na sigara na hata kukataza kuvuta sigara hadharani.Huku kwetu utakuta vitoto vidogo vinauza paketi za konyagi na sigara.
   
 4. M

  Mkandara Verified User

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Walivifilisi kabla havijafa.. Siwezi kuamini Tanganyika Packers, UFi ama Urafiki walikuwa wakileta hasara isipokuwa sisi wenyewe ndio tulikuwa na matatizo ya uwajibikaji. Na kamwe hatutaweza kuendelea ikiwa Uwajibikaji hautapewa umuhimu ktk maamuzi na utekelezaji wa kazi na shughuli ZOTE za maendeleo.
   
 5. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  mkuu.....kwa ugumu wa maisha haya bora uwe "steam" upate usingizi siku ipite....bila hivyo utakuwa "chizi".....ha ha ha
   
 6. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa mkuu
   
 7. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo unataka kuniambia kwenye bia na sigara hakuna wezi? jamaa wanaiba mpaka wanashindwa kwa kuziweka hela lakini haziishi. kwa sababu biashara ya vilevi inalipa sana mwananchi yuko tayari kununua pombe akalewa wakati hata mlo wa kesho hajui atapataje
   
 8. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  mkuu hapo kwenye uvutaji wa sigara ni ungetumia neno "hadhara"...yaani kwenye mikusanyiko ya watu...baa, vituo vya basi,sehemu za umma nk,......badala ya hadharani yaani kuonekana na watu bila kujificha.....hii inawachanganya wengi..........
   
 9. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  hongera kwa kuliona hilo mkuu,jua kua ili kiwanda kiendeshwe kinahitaji good management,viwanda unavyovisema vinafanya vizuri ukiangalia ownership yake utakuta major shareholder ni wawekezaji wa nje ya nchi.hivyo vingine serikali ilijaribu kurun na ikashindwa coz serikali haiwezi endesha biashara bali ni private investors hata ukiangalia nchi zilizoendelea na makampuni makubwa yote yanamilikiwa na private sector.nikiwa kama mdau nitahitaji ushirikiano wenu kwa proposal ntakayompelekea mkuu wa tz kuhusu kumilikishwa air tanzania kwa asilimia kadhaa na kuanza kuiendesha ntafurahi nikipata ushirikiano wenu.
   
 10. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Jamani wakuu,mi nachukua hatua sasa mkishaanza kunisikia katika vyombo vya habari ntahitaji jambo ambalo team tutakayoiunda itakuwa na manufaa kwa watanzania.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako nji hii inaendeshwa na wavuta sigara na walevi kodi ya huko ndo inaendesha nji hii
   
 12. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alaaa kumbeeee!!!!

  Ndio maana hakuna maendeleo kwa sababu faida zenyewe zimeshalewa kwa pombe na moshi wa sigara.Ndio maana mijitu haioni mbele kwa moshi uliotanda na hatujui tunakokwenda tupo tupo tuuuu.Mijitu inaiba mpaka mifuniko ya mashimo barabarani na yote inasababisha kutokana na maendeleo haramu yanayotokana na pombe na sigara.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  chezeya viroba jogoo weye?
   
Loading...