kwa wanaojua hesabu watapata jawabu sahii la swali hili

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
Kama mtu ni dk na alikuwa padri mpaka mwaka 1990,mtoto wake anaesoma chuo cha dit emezaliwa mwaka 1987,je dk huyu alizaa akiwa padri au la?
 
Unajifunza anatabia gan kuhusiana na maadili ili awanyooshee kidole wazinifu na wapuuzaj wezi wenzake?
 
Mtoto atakua na miaka karibu 22 kitu ambacho kinawezekana kuweko chuo kikuu. Niliwah kusoma na dogo flan wa kike pale udsm wakati akiwa na miaka 19 tu. Alikua na umbile kubwa lkn pia alinambia kuna madarasa alichupa. Kutoka la 2 akarukizwa la 4. Alikua kipanga.
 
kwani huyo PADR aliwah kufunga ndoa kabla !? kama bado nadhan jibu unalo....ki2 DNA ifanye kazi.
 
Hizi ni hoja isiyo na maslahi mapana ya taifa!
Whether Dr(SLAA?) alizaa akiwa padre or not haitusumbui kama watz,hayo ni mambo binafsi.
 
Kama mtu ni dk na alikuwa padri mpaka mwaka 1990,mtoto wake anaesoma chuo cha dit emezaliwa mwaka 1987,je dk huyu alizaa akiwa padri au la?
Muulize na huyo the so called Dr. wa magogoni! mama yake ritz amemtelekeza wapi? yaani kilA mtoto na mama yake, hata picha zao tu hakunaga. FORNICATION!
:shetani::shetani:
 
Kama mtu ni dk na alikuwa padri mpaka mwaka 1990,mtoto wake anaesoma chuo cha dit emezaliwa mwaka 1987,je dk huyu alizaa akiwa padri au la?

Ila uzinzi nadhani ni kipaji chake kaanza kitambo sana, jamaa kaamua kuishi hadi na mke wa mtu.
 
sijui mnao muamini kwangu i dont trust him and i hate magamba
unakuaje padre afu unazaa tena kwa wizi ukitumi resources za kanisa,
hukumuogopa MUNGU ukatuogope watu
hukuogopa BIBLIA ukaiogope KATIBA
shutuuuuu
 
Kama mtu ni dk na alikuwa padri mpaka mwaka 1990,mtoto wake anaesoma chuo cha dit emezaliwa mwaka 1987,je dk huyu alizaa akiwa padri au la?

Ikiwa mwandishi wa habari alizingirwa na askari polisi saba wenye silaha, na mmoja wa polisi hao akafyatua bomu la kutoa machozi tumboni kwa mwandishi, na mwandishi akapoteza maisha
Je? polisi ndio waliomwua mwandishi au la??
CCM, mtajaribu sana kupotezea mauaji ya kinyama uliyoyafanya, lakini Mungu yupo, na Mungu siku zote ni mwenye kutenda haki.
Hakika, Mungu atawalipa ninyi nyote mliotekeleza mauaji, pamoja na washirika wenu wote wanaojaribu kufukia damu iliyomwagika isionekane.
 
Mti mwema obvious huwa ndio unarushiwa mawe sishangai mnavyo mdis Dr ila kwa muelevu na mwenye uchungu na hili Taifa linalonyonywa na Mafisadi kwa manufaa yao binafsi hawezi kusupport hilo la kumdis Dr,usipende kuishi kwa mazoea ila jaribu kuishi kwa mabadiliko coz tumechoka na MAFISADI.
 
Back
Top Bottom