NAOMBA SABABU ZA VIWANDA KUFUNGWA. Mwatex. ZZK, UFI, Tanganyika packers ngozi morogoro etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBA SABABU ZA VIWANDA KUFUNGWA. Mwatex. ZZK, UFI, Tanganyika packers ngozi morogoro etc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Sep 6, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie naomba niwaulize ndugu zangu
  Hivi kuna sababu maalum kwa nini viwanda alivyoanzisha baba wa taifa vimekufa?
  Ulipovunjika umoja wa Afrika mashariki Kenya walibaki na viwanda viwili tu vya nguo. lakini viwanda hivyo mpaka sasa ndio vinazalisha khanga, vitenge, mashuka na nguo mbali mbali na kuziuza Tanzania. Vya kwetu vimekufa
  MBEYA TEX
  MU TEX
  MWA TEX????
  Kuna mwenye majibu yoyote hapa?
   
 2. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Vilianzishwa ili VIFE kwa vile maamuzi ya kuvijenga hayakutilia maanani uwezo wetu wa kuviendesha!!
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Nguo zao bei ghali kuliko mitumba na pia kuna New taste, kila baada ya muda watu wanataka vitu vipya
  Leo watu hawataki tena Screen za vichogo wanataka Flat na LED wala sio tena LCD
  Viwanda vyetu vinatengeneza Betri za National au Khanga nani anatumia vitu hivyo, watoto wanataka Jeans skin tightkwanini usifunge Kiwanda chako cha Anglia wakati TOTOTA wanatoa vitu vya uhakika?
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  nachelea kusema akili yako inafanana na jina lako, ina uchachu uchachu fulani hivi. sidhani kama viwanda hivyo vilikufa kwa sababu hizo ulizozitaja hapo, vilikufa kwa sababu ya CHUKUA CHAKO MAPEMA, ila kama vingekuwepo vingesaidia, maana sio wote wanavaa hizo jeans na skintight, KHANGA BADO ZINAHITAJIKA, BETRI ZA NATIONAL BADO ZINAHITAJIKA, kama huyajui haya wewe utakuwa huishi Tanzania, Hebu jiulize, kwa nin i wakenya bado wanavyo??? ni kweli havina faida??? achana na fikra za ukisasa zilizopindukia mipaka. Khanga na Vitenge vitaendelea kuvaliwa Tanzania kwa miaka mingi tu ijayo.
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako hujasoma Marketing kwa hiyo ni vigumu kukuelezea, kwani inaonyesha una chuki na CCM chukua chako mapema
  kuna thread ya kampuni ya SASATEL inakufa yenyewe, sasa utasema nini hapo
  halafu km bado upo Tanzania na unatumia betri za National za 'AA' au 'AAA
  ' ndio maana hatuwezi kwenda pamoja
  Hiyo Laptop angalia Betri yake au simu yako badilika Ulimwengu unabadilika yaani unapoteza muda kwenda nunua tochi ya betri ya mawe? wakati zipo za Jua za kuchaji nk
  Km sio kuichukia CCM basi rudi darasani au angalau tafuta masomo ya Biashara Chuo chochote utajua ni nini kilichokuacha
  ulime PAMBA uchambue PAMBA utengeneze KITENGE ushone GAUNI / SHATI halafu kiwanda hichohicho wakti wenzako wanaingia madukani kutafuta MR DIOR kweli upo Tanzania ya 70"b ambapo hawa watoto wa Vyuo vikuu hata uwaambiaje hawatanunua na ndio haop wanaotaka mabadiliko,ww unawapelekea Radio MKULIMA 77
   
 6. M

  MWENDO UGIMBI Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  mi nina mtizamo tofauti kidogo, siyo kweli kuwa viwanda haviwezi kubadilika kutoka bidhaa hii hadi nyingine mfano tulikuwa tunatumia soda kwa chupa ya glass sasa mambo yamebadilika tunatumia chupa za plastic lakini viwanda ni vile vile, hata hivyo viwanda vya nguo vinaweza kufanyiwa marekebisho kidogo ya mitambo wakazalisha vimin vya jeans mnavyotaka, kwa hiyo ni uwezo tu wa kupanga na kuchagua
   
 7. B

  BARRY JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Ukwaju.....................unapotosha jamii...............viwanda vinaendelea kuwepo, kinachobadilika ni end processess ya kile kinachotakiwa kwenda sokoni. principles za kuzalisha kitambaa ziko pale, inategemea unataka mchanganyiko wa nini na nini. end product amabayo ni nguo inatengenezwa na designers tena huenda ikawa nje kabisa ya kiwanda............hata TOYOTA wakitaka kuzalisha gari mpya huwa wanabadilisha end product design (moulds).........elimu ya biashara ni nzuri kama unakuwa na background ya nini kinatakiwa kuleta end product!   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Viwanda vilifungwa kwa sababu sie waafrica tunapenda vitu vya kimagharibi
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  [h=2]Mwatex. ZZK, UFI, Tanganyika packers ngozi morogoro etc[/h]Viwanda hivi vya manual viliachwa lini na Robot na electronic? yaani leo mnataka kusema mashine za 1970 ya zana za kilimo Majembe ya mkono yamepitwa kiwanda chake mnakigeuza kuwa cha powertiller,nenda hapo dar ulizia kina KIDA wanakiwanda cha majembe ya mkono na wanazalisha kisasa wafanyakazi wachache mashine za kisasa na mauzo yanatosheleza nchi nzima.
  Du ni Kazi kwelikweli yaani mabadiliko yaakina Gorbachev hamkuyaona ndo tuyasubiri mpaka leo
  nasema TTCL ndio CCM imeiua, watu wanaenda Voda, tiGo, Airtel, Buzz nk sasa simu za mezani hazipo kwa hiyo kiwanda chake unakigeuza kinakuwa cha Blackberry

  Jenerali Ulimwengu leo kahojiwa na BBC yuko nje anasema dunia inakimbia na watanzania waache uvivu wasome waendane waache kulalamika
   
 10. k

  kalcha Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Nafikiri kilichotuua ndicho kilichoua viwanda vingi america, gharama za uzalishaji kuwa kubwa na centralisation ya makusanyo na matumizi, ilhali hatuwezi kuzalisha kwa viwango vya soko! Hakuna duniani mtu asiyependa Nafuu, nyerere alikosea na alitudekeza na mpaka sasa hatuwezi hata kujisafisha tukijichafua, kutojua umuhimu wa kufa ya kazi, shared responsibility n.k. Mtu anafanya kazi bandari lkn anacheza bao kutwa kucha! Mwalimu akiandaa alaiki vizuri tunampa ukurugenzi! But anyway km mwatex mtaalam kabisa cheyo, aliwahi kujisifu awesome textile Sijui nini uingerezani imemfia mkononi, na ananguvu mpaka Leo bodi ya pamba "ilipo supamaketi yake" badala ya hata kufufua kimoja basi, anauza masufuria na taka za plastiki kutoka china .......
  Jingine ni mfumo wa biashara.. Jembe linatengenezwa ufi, linapelekwa rtc, anapewa chama cha ushirika, then mkulima anakopwa kahawa, mpaka iuzwe amerika pesa irudi bot, then mkulima analipwa jembe la ufi na pesa inaenda hazina, inamsomesha mtoto wa mvivu mmoja asiyelima hata mihogo",!
  Acha aisee, bila ya kufa ya ulanguzi wa kahawa Kenya by then, watoto wa kichaga unaowaona Leo wamesoma, wangekula mavi ya ng'ombe!!!
  Anyway, let's think wat to do now,
  Pamoja na kwamba tumechelewa sana, lkn bado tuna rasilimali na uwezo, tufanye maadiliko ya kwanza jina la nchi, mfumo wa utawala,uwezo wa kutoa hukumu za kijasiri kwa watakaoleta uzembe na kupata biashara zetu zote kiupya.
  Tujikite kati ka kuzalisha aina mbili au tatu za mazao ya biashara na tukazie kwa nguvu zote, sio ss tuna shiksa kila kitu. Kama tunaamua kuzalisha sukari iwe sukari kiukweli, kama pamba au tumbaku tuwe sirias na vitu vichache lakini Tuskegee nguvu zetu kamili....
   
Loading...