Moto mkubwa kiwanda cha sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto mkubwa kiwanda cha sigara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by majany, Sep 7, 2012.

 1. majany

  majany JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wakuu nakatiza hapa maeneo ya kiwanda cha sigara(nyerere road) nashuhudia moshi mkubwa sana unatoka kwenye moja ya store zao...wananchi wanaoshangaa ni wengi...mwenye kuwajua fire awape taarifa...
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Moto unawaka kampuni ya Sigara sasa hivi, fire brigade zote Dar ziko eneo la tukio.
  Habari zaidi baadaye
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Afadhali kansa ipungue
   
 4. n

  ngala moja Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ayaaaa yaani bajeti ya nchi imeharibika.serikali itapata wapi pesa na walipa kodi wakubwa ndo hawatazalisha tena.........
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu isije ikawa ndio ile hesabu ya stock taking inaharibiwa hivyo..
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni moshi wa kiwanda kimeamua kuvuta sigara.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sigara wana emergency preparedness and response programme nzuri tu. watakuwa wameshafanya utaratibu, that is, kama hawafanyi mock drill now.
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Usikute ni mambo ya Insurance!!!!!! Hebu tusikie maana wavuta sigara duniani wanapungua, uhamasishaji umesaidia!!! Nilikuwa na ndungu zangu na marafiki chain smokers wameshacha!!! Upako mwingi so bora kumaliza, walipwe watambae!!! Si uliona kiwanda cha magodoro kule mahali wakati wanataka kuhamishia kiwanda Dar? Mambo ya Paradise Hotel je? Chezea tanzania, kila kitu kinawezekana, jaribu!!
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Auheni KANSA ipungue kwa ndg zetu.
   
 10. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Bora kiungue kabisa. Huu ujinga wa taifa kutegemea kodi kwenye vitu haramu utakoma. Kikimalizika hicho moto mkubwa pia uwake kiwanda cha pombe pale karume.
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Weeee Koma!! unataka taifa linywe Chan'gaa???
   
 12. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kiwnda nacho kimeamua kuvuta sigara
   
 13. C

  Charles JN Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hallo every body!
   
 14. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuu nipo hapa magomeni zimepita gari za kuzima moto 3 zinatokea hupande wa kinondoni,,,
  hatujui wapi kimenuka 2naomba mtupe update wakuu
  nawasilisha
   
 15. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mkulu anaunguza kura alizoiba uchunguzi 2010
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseee babaangu inaweza kuwa kweli embu wekeamo picha babaangu
   
 17. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wamekuja na maji?
   
 18. majany

  majany JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Yaan TBL kiwake moto??hahaha...kijana badilisha kauli....
   
 19. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Bia toka TBL ndo zitatumika kuzima moto maana kuna upungufu wa maji
   
 20. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nchi inayotegemea walevi na smokers huku ikiwa na utajiri wa rasilimali kibao, Lazima tuandamani hicho kiwanda kikiungua ndo tunategemea kupata hela za safari za bwana mkubwa hapo
   
Loading...