Train ya Abiria reli ya kati jana engine moja iliwaka moto.

Maguguniga

Member
Apr 14, 2012
35
8
Ilitokea mida ya saa moja jioni ilikuwa inatokea Dar ilipofika salanda ndo moja ya engine yake iliwaka moto na kusababisha taharuki kwa abiria waliokuwa wanasafiri, baadhi yao kujeruhiwa walipokuwa wanajaribu kujiokoa kwa kuruka madirishan. Source Wapo radio patapata asubuhi hii.
 
Kuna prof mmoja anasemaga ng'ombe wa maskini hazai, akizaa anazaa dume, afu dume lenyewe linakuwa shoga!
Kha!
 
Back
Top Bottom