Mtu anayetapeli kupitia kituo cha uwekezaji T.I.C atiwa mbaroni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu anayetapeli kupitia kituo cha uwekezaji T.I.C atiwa mbaroni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Sep 9, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wadau,
  Wikendi iliyopita nilileta uzi hapa kuwatahadharisha wadau kuwa makini na mtu anayetapeli watu kwa kutumia taasisi ya serikali ijulikanayo kama TANZANIA INVESTMENT CENTER,niliandika kuwa huyu jamaa anajiita TOZIR MALEKELA.Jana tulitengeneza mtego,jamaa akajaa maeneo ya mwananyamala A karibu na saloon ya BITEBO,nasi bila ajizi tukamkamata,wakat tunamkamata alikua akijiandaa kuchukua shilingi laki 5 kwa jamaa,eti akidai ana uwezo wa ku-lobby cement pale wazo hill kwa bei rahisi,
  Tulimpeleka kituo kidogo cha polisi cha KINONDON MOSKO,na leo atapelekwa OYSTERBAY ambako ndiko tulikochukulia RB kisha central Police kwa utekelezaji mwingine,
  pamoja na hayo,picha za huyu jamaa akiwa sello siwez kuzirusha hapa kwakua natumia sim,ila zitapatikana kwenye group page ya MWANZA INDEGINOUS SOCIETY,jana alikamatwa akiwa kavaa kanzu,na alikua anajiandaa kuwatapeli wasimamizi wa madrasa moja huko MAGOMENI MAKANYA.
  NTAZIDI KUWAJUZA
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Weka picha hilo jina laweza kuwa feki! Ili tumjue huenda ata sie keshatuachaga ila twamjua kwa jina lingine
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni kweli chipukizi,,,but siwez ku-upload picha kwa simu,ila hapo juu nimeelekeza kuwa picha za huyu jamaa zinapatikana kwenye wall page ya MWANZA INDEGINEOUS SOCIETY HUKO FB,jana amepigwa picha akiwa lock-up,lakini kama usemavyo jamaa anatumia majina mengi sana,likiwepo la FADHIR,TOZIR,MALEKELA,NGOSHA,NAUSTADH(ENDAPO ANAINGIA KUIBA AU KUTAPELI KWENYE TAASISI ZA KIDINI-MISKITINI)
   
Loading...