picha ilipigwa dakika 20 kabla ya kuuwawa kwa maerhemu daud mwangosi

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
Marehemu Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake katika vurugu za wafuasi mwa chama cha CHADEMA na Polisi ambapo mwanahabari Daud Mwangosi amedaiwa kufariki katika vurugu hizo. Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa
 
Gone......mungu mwema amefumbua na kuweka wazi ccm na serekali kinaendelea zidi waandishi na cdm
 
Sasa hii picha si ilikuwepo toka jana? Watu wengine bwana.

Hiki kifo kimetuchanganya wakuu. Kuna wengine hawajapitia post zote hivyo wanapost tu. Kwake na kwa wengine ambao hawajaona picha za jana na juzi basi kwao ni post mpya!!! Freedom of speech and expression!!
 
Watu wengine bwana wanachukua picha iliyokwisha postiwa na wenzake tangu jana nae anatumia kuanzishia thread kama huna cha kupost soma tu za wenzio.
 
Marehemu Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake katika vurugu za wafuasi mwa chama cha CHADEMA na Polisi ambapo mwanahabari Daud Mwangosi amedaiwa kufariki katika vurugu hizo. Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa

Nakulilia Mwangosi.Kifo chako kimenisikitisha sana.Mungu akuinulie mataifa wakukulelea familia yako.
Mungu itizame familia ya mwangosi kwa jicho la rehema na fadhila.
Wewe Mungu mfadhili mkuu,hautakosa kuwasaidia familia hii.
 
Ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha sana kuona huyu mwanahabari akipiga picha, na dakika 20 baadaye polisi wanalipua kichwa chake.

Polisi ama kwa kutojua jukumu lao kuu ni kuhakikisha usalama wa maisha ya raia, au kutokana na maagizo ya kishetani waliopokea toka kwa wakuu, wamekuwa ndio tishio kwa Watanzania wanapigania M4C.

Napendekeza kwamba tutakapochukua dola 2015, Sheria ya Polisi ibadilishwe na Bunge la M4C, ili polisi wapewe tu virungu vya kutuliza ghasia pamoja na Bunduki za kurusha maji washa. Wanaweza pia kupewa rubber bullets ambazo watatumia tu ghasia zikiongezeka. Wanaweza pia kuwa na pingu ili wawadhibiti wanaotakiwa kupelekwa mbaroni. Kwa vyovyote vile wasipewe risasi za moto.

Huo ndio utaratibu unaotumiwa na nchi zilizokuwa zinatutawala.
 
RIP mwandishi ila chadema acheni hzi jaman hamuon watu wasio na hatia wanakufa?km serikali haitaki ya nn kubishana nayo km vp c zitafutwe njia nyingine kwan lazma maandamano?
 
RIP mwandishi ila chadema acheni hzi jaman hamuon watu wasio na hatia wanakufa?km serikali haitaki ya nn kubishana nayo km vp c zitafutwe njia nyingine kwan lazma maandamano?

Kwan wanaoua ni cdm?? hebu suggest io njia nyingine..
 
Yaser wewe ni gamba na gambani utafia....yaani unataka kuuambia ulimwengu kuwa huyo jamaa kauawa na cdm?mbona hata mtoto wa chekechea anajua ndg yetu Mwangosi kauliwa na nani...au wewe hata chekechea hukufika?ukaja kusoma kile kisomo chenye manufaa..cha chini ya mti..a.k.a memkwa..a.k.a ngumbaro?
 
Back
Top Bottom