Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na...
HALI ya usafiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT), Jijini Dar es Salaam imekuwa tete baada ya shule kufunguliwa.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi jana...
Ni jambo sijalipatia jibu: hivi kiongozi, sema rais, anahisi vipi wakati chombo/vyombo vya serikali yake vinatwaa roho ya raia, hasa hasa bila haki?
Nauliza hivi kwa vile mimi binafsi, ambaye sina...
"Presidency does not change a person (characters) but it reveals who he/ she is." By Michelle Obama. Sasa Rais wetu tunamfahamu vizuri sana kwa sababu ya kuwa Rais, tunayoona anatenda sio kuwa...
Sijawahi kuona na wala sikutegemea,nifika jana hapa hospitali ya mkoa songea jana usiku kumleta mgonjwa kitu tulicho kutana nacho nicha kusikitisha sana.kwa hospitali kubwa kama hii huwezi kuamini...
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya Madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi...
Inasemekana Bandarini DSM kumetokea wizi wa container la shaba ambapo walinzi walifanikiwa kulikamata na baadhi ya wezi wakiwamo police kadhaa (Idadi na majina) Kwa sasa reserved coz cjawa na...
Habari za Jumanne ya leo wanaJF
Katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Jumanne ya leo tutaangazia mabadiliko ya sera ya Posta Nchini ya Mwaka 2003 ambayo yalitoa uwepo wa uhitaji wa madailiko ya...
Wizara ya fedha imejikuta iko kwenye wakatai mgumu baada ya malipo mbalimbali ya kuendesha ofisi za serikali kukwama kutokana na kuingiza mfumo mpya wa malipo. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba...
Kuna waziri wa uchukuzi mh Mwakyembe alisema train itaanza tarehe 10/9/12. Kwa walio karibu na hayo maeneo ya ubungo maziwa au buguruni,vipi train hiyo imeanza?
Bwana Ridhiwani,
Ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya popote pale ulipo. Ninaandika hii barua kwa huzuni kubwa nikitarajia ya kwamba yote yaliyomo utayashughulikia ipasavyo na haraka...
Kwasasa naona kuna kila dalili aliofanyiwa Ulimboka kupitwa na kusahaulika kutokana na hili la Mwangosi. Rai yangu ni kuwa licha ya kuibuka hili lakini imetupasa kushikilia pia la ULIMBOKA...
Jamani kama kuna mwanaukumbi anamfahamu/ana-contact ya admin wa CHADEMA website, naomba amshtue achangamkie kazi yake.
Ni uzembe admin kuchukua wiki kabla ya kujibu query.
Katika nyanja ya hoteli, hii tuzo ni kama kwenye mpira mchezaji bora duniani, ni aghalabu kupata hiyo tuzo mara mbili mfululizo jinsi ushindani ulivyo kuwa wa hali ya juu.
Ahsante Kikwete...
Niliingia kwenye gents ya supermarket moja na kusikia jamaa akiwa kwenye 'cubicles' za call ndefu huku akizungumza na simu ya mkononi. Hivi hizi simu kuitwa 'mobile' maanake ni sehemu zote waweza...
Wadau kinachonishangaza waziri anajitetea na kulalamika kwa mwandishi wa habari semunyu kwny kipindi maalum cha dk45,badala ya kushindwa kuwawajibisha watendaji wa wizara na TANAPA kwenye ufisadi...
Baada ya takriban miaka 21 tangu alipouwawa Rais wa nchi hiyo Marehemu Said Bare, Hatimaye wabunge wa nchi hiyo leo wanafanya uchaguzi wa kumpata Rais wao ndani ya Somalia, hii ni baada ya...
Ilikuwa ni katika tamasha la injili lililofanyika hapa Katesh Manyara kama ninavyomnukuu kutoka kwenye fb page yake:
POST 1:
Munishi Faustin DailyNews
KASHFA YA CCM KUUA WANAHABARI NI DOA KUBWA...