Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa nashangaa mantiki ya kuwa na serikali iwapo wachina na wageni wengine wanaingia na kujichimbia madini yetu kiholela huku wawekezaji wakichukulia watakavyo. Je nini mantiki ya kuwa na serikali...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
..Comoro tulipoteza askari mmoja. ..tena hata mwili wake haukupatikana. ..sasa Darfur nako tumepoteza askari wengine. ..kwa mtizamo wangu matukio haya yamelitia doa jeshi letu. ..ingekuwa...
3 Reactions
88 Replies
23K Views
Watu 9 wamefariki dunia hapo hapo katika ajali mbaya iliyohusisha gari aina ya Hiace iliyotokea hapo eneo la Mkiringo nje kidogo wa Mkoa wa Mara baada ya kupasuka tairi ya mbele! Marehemu wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni, natumaini zoezi la sensa linaendelea vizuri huko nchini. Habari mbaya ni kwamba wanajeshi watatu wa tanzania wamefariki dunia baada kuzama majini. Hao ni wale wa kundi la...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
basi la kampuni ya gairo lilotoka dodoma kuelekea dar limepata ajali nyuma kidogo ya mto ruvu baada ya kufeli breki na kugonga basi lingine kisha kutoka nje ya barabara. Namshukuru Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu wadau, ikiwa leo ni maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama, naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania aliyeelezea jinsi tukio la...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
SARAKASI za 'kushikana uchawi' na 'kuzidiana kete' kuelekea 2015 zinachukua sura mpya huko Tarime baada ya askari polisi wa Kikosi cha Operesheni Maalum, kinachoongozwa na Kamanda Venance Tossi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema walitumia intelegisia ya aina gani kukawia kwenda kwenye ufunguzi wa matawi pale nyololo?ina maana walijua polisi wanawatafuta kuwaua au walijua kutatokea mauaji?na kama walijua hayo...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
kwa wale wanaopenda kujua kuhusu freemasons wa tune clouds tv siku ya halhamisi saa 3 kamili usiku kutakuwa na mahojiano kuhusu freemasons yakumhusisha east africa lodge grand master mr.chande...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
I have been watching with keen interest on the development progress of the Rapid transit infrastructure in the Haven of Peace aka Dar Es Salaam. Does anyone have an idea on the actual operation...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wanahabari wenzangu nakuja na pendekezo siku ya tarehe 2.9 ya kila mwaka iwe ni kumbukumbu ya marehemu DAVID MWANGOSI yaani SIKU YA HABARI YA DAVID MWANGOSI kwa siku hiyo waandishi wa habari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mh,J.Makamba naomba uelewe kuwa kampuni ya simu ya Vodacom inahamisha kitengo cha mawasiliano nchini INDIA!!Kitengo cha uratibu wa mawasiliano cha voda kinahamishiwa INDIA kinyemera ni kitengo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali inayoonekana ni hujuma dhidi ya chenel 10, tangu yalipotokea mauaji ya Mwangosi, TANESCO Wanakata umeme kila ifikapo saa 1.00 usiku na kuuwasha nusu saa baada ya taarifa ya habari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa huyu naye anataka u-rais wa Tanzania.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
sitaki kuwakumbusha wadau juu ya mauaji ya kikatili juu ya Mwangosi bali ni kutaka kuhoji na kufaham kwa kirefu zaidi....nauliza sasa CAMERA YA MWANGOSI IKO WAPI? pengine tungeweza ona mengi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ifikapo usiku ndani ya kituo cha daladala cha ubungo usalama huwa mdogo sana,sababu kubwa ni GIZA linalosababishwa na ukosefu wa taa,mazingira ya kituo cha ubiungo yanatofautiana na kile cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani watu wakali kile kipindi kitakachorushwa jumamosi na Hamza kassongo na Channel ten MAUAJI YA DAUDI MWANGOSItayari kipo ktk You Tube hata km wahusika watakizuia wamechelewa bora waache...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…