Ajali mbaya hapo Mkiringo Mkoani Mara!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Watu 9 wamefariki dunia hapo hapo katika ajali mbaya iliyohusisha gari aina ya Hiace iliyotokea hapo eneo la Mkiringo nje kidogo wa Mkoa wa Mara baada ya kupasuka tairi ya mbele!

Marehemu wote walale kwa Amani yake Bwana na hata majeruhi nawaombea wapone mapema!

Pigo sana kwa Taifa letu!

Source ni Radio One!
 
Habari toka ndani ya radio one kupitia mtangazaji wao aliyepo hapo Mkoani Mara zinasema ya kwmb mpaka sasa miili ile haijatambulika na hata imeongezeka na imefika 11 na MUNGU azilaze roho za Marehemu mahala pema peponi!

Mods! Unganisha thread hii na ile ya TATOO!
 
Back
Top Bottom