Kwa muda wa zaidi ya Muongo mmoja sasa tumekuwa tukisikia watanzania takribani wote wakilia kwa sauti moja na ya uchungu kuwa adui yao mkubwa ni ufisadi. Nami natoa wito kwa wote wenye kuelewa na...
Kuku wa kienyeji huwa anataga mayai kutamia hatimae kuangua na hulea watoto kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu ikiwemo kuwa protect chini ya bawa zake pale adui yeyote akiwemo mwewe...
THE Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) is upbeat that the newly formed Teachers Service Joint Staff Council will help address long standing strikes and go slows.
The MoEVT...
Naona sasa wameamua kutumia migongo ya kampunimkubwa ili wiki yao ya usalama ipate coverage
Jana kwa mgongo wa Airtel ilikuwa kuhusu ajari za barabarani pia jana iyo iyo walitembelea TBL ili...
Kuna ajali mbaya sana imetokea eneo la KIGOGO baada ya DCM kuanguka na kulalia ubavu huku ikiwa na abiria ndani. Sikuweza kujua kama ilikuwa inatokea KINONDONI au Kariakoo kwa sababu ilikuwa...
Habari yenyewe ni kama ifatavyo:
Jiji la Dar es salaam linazalisha tani 24,000 za takataka kwa siku;na 37% ya takataka hizo ndiyo zinazo zolewa na kutupwa sehemu husika;
Jiji la Dar es...
nimesikitishwa sana na hawa majamaa kuongea mbele ya vyombo vya habari wakisema wamekamata luku zenye umeme wa wizi kama 90.na wamekang'oa service line kama 40 za watu,wakijidai kwamba watafungua...
Ndugu wana jamii,
Kila ninapopita jangwani nashindwa kupata majibu ya maswali yanayo zunguka kichwani mwangu. Je huu ujenzi unaoendelea hapa hauna madhara yoyote kwa mazingira? na je...
Wadau wa JF,
Inavyoelekea baadhi ya viongozi wa dini wameanza kuonyesha dalili au kutekwa na siasa, viongozi wa dini ndiyo muhimili mkubwa kutokana na hadhi yao mbele ya jamii yetu ya kitanzania...
Wana JF,
Baada ya kuugukia kwa muda sasa kifo cha Mwandishi wa Habari - Mwakilishi kwa Kituo cha Television cha Ch.10 - Marehemu Mwangosi. Na pia kwa kwa kina kusoma thread mbali mbali za wadau...
Habarini wandugu, Leo asubuhi nimesikiliza maoni ya bwana mmoja kuhusu polisi na wajibu wao hakika amenifurahisha.
Kwanza kabisa ametolea mfano polisi wa mataifa yaliyoendelea jinsi wanavotimiza...
Wanajamvi taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa kiongozi mmoja wa juu wa Tanesko nikuwa wafanyakazi 29 wa shirika la umeme Tanesko wamefukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani hi leo,hawa ni wale...
Polisi yaunda kikosi kusafisha bandari
na Happiness Mnale
JESHI la Polisi nchini, limeunda kikosi kazi chenye lengo la kuhakikisha bandari ya Dar es Salaam inakuwa salama kwa...
Kwa wapenzi wa soka duniani na wapenda amani duniani mtakumbuka janga la mashabiki wa club ya Liverpool walivyokufa uwanjani, sababu na propaganda zilitolewa eti mashabiki wale walikuwa walevi, na...
@ W'S BONGO EXPERIENCE: Leo nipo Brela, kwenye registration ya companies in bongo, unajua hakuna kitu kibaya kama kuongea na mate wakati wino upo!!
- JANA KWENYE STAR TV KUNA ALIYEJARIBU...
Katika hali ambayo hakutegemewa kwa mwanablog Issa Michuzi kunyima uzito tukio lla waandishi walipoandamana kulekea jagwani.
Sasa hivi ni saa 9.30 mchana hawezekani kuwa amashidwa kuweka tukio...
Public hostilities have engulfed the south of Kenya following an epidemic outbreak of cholera which is filtering into neighboring Tanzania.
Levels of violence have increased throughout the...
Ujenzi wa Daraja la Kigamboni umeanza
12/09/2012
Akisisitiza ubora wa kazi, Dkt. Magufuli alisema kuwa, Wizara yake ipo makini na kuwataka makandarasi kufanya kazi kwa usanifu mkubwa na...