WILLIAM MALECELA na USHIRIKI WAKE UMILIKI WA JAMII FORUMS ANA UKWELI WA DOCUMENTS

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
@ W'S BONGO EXPERIENCE: Leo nipo Brela, kwenye registration ya companies in bongo, unajua hakuna kitu kibaya kama kuongea na mate wakati wino upo!!
- JANA KWENYE STAR TV KUNA ALIYEJARIBU KUBADILISHA UKWELI KUHUSU USHIRIKI WANGU NA UMILIKI WA JF, SO UKWELI WA DOCUMENTS UPO HAPA NA ZA KWANGU BINAFSI TULIZOTUMIA KUANZISHIA JF AND THEN NITAZITOA KWA MEDIA NI KUWEKA TU UKWELI WAZI KWA SABABU UONGO SIO TABIA YANGU NA WALA NOTHING IS PERSONAL: MCHANA MWEMA SANA!! - LE MUTUZ!!
 
...Ukweli huo unaonyesha yeye ni mmiliki au si mmiliki? hapo juu hukutufafanulia zaidi hizo docs zinasema kitu gani....Niliwahi kuona video iliyowekwa hapa ikionyesha kwamba naye ni mmiliki.
 
@ W'S BONGO EXPERIENCE: Leo nipo Brela, kwenye registration ya companies in bongo, unajua hakuna kitu kibaya kama kuongea na mate wakati wino upo!!
- JANA KWENYE STAR TV KUNA ALIYEJARIBU KUBADILISHA UKWELI KUHUSU USHIRIKI WANGU NA UMILIKI WA JF, SO UKWELI WA DOCUMENTS UPO HAPA NA ZA KWANGU BINAFSI TULIZOTUMIA KUANZISHIA JF AND THEN NITAZITOA KWA MEDIA NI KUWEKA TU UKWELI WAZI KWA SABABU UONGO SIO TABIA YANGU NA WALA NOTHING IS PERSONAL: MCHANA MWEMA SANA!! - LE MUTUZ!!
so what
 
Sasa umiliki au usimiliki tatizo ni nini? watanzaia bwana. Huu umiliki ni hoja kama mmezurumiana huko mapato yenu yanayoingizwa na jf.
 
Mimi nilisoma humu JF yeye mwenyewe akijisifia kuwa alianzisha kiboko ya serikali yaani JF

Ninatamani sana awe mwongo, hakustahili kuwa mwanzilishi, kama imetokea ni bahati mbaya. Kama hayupo, nitamchinja yule beberu niliyepewa na bibi nifurahi na watuwangu
 
LE MUTUZ acha kutafuta sifa mtaani!jee mchango kwa sasa ktk jf company ni upi?
 
The height of nincompoomp!!yani ye kila leo kilio ni kilekile...oooh,alipowekwa ndani sikulala nilikesha ili atolewe...mxiiii,kweli a silent fool is counted wise!
 
@ W'S BONGO EXPERIENCE: Leo nipo Brela, kwenye registration ya companies in bongo, unajua hakuna kitu kibaya kama kuongea na mate wakati wino upo!!
- JANA KWENYE STAR TV KUNA ALIYEJARIBU KUBADILISHA UKWELI KUHUSU USHIRIKI WANGU NA UMILIKI WA JF, SO UKWELI WA DOCUMENTS UPO HAPA NA ZA KWANGU BINAFSI TULIZOTUMIA KUANZISHIA JF AND THEN NITAZITOA KWA MEDIA NI KUWEKA TU UKWELI WAZI KWA SABABU UONGO SIO TABIA YANGU NA WALA NOTHING IS PERSONAL: MCHANA MWEMA SANA!! - LE MUTUZ!!

Huyu kiumbe alishatangaza kuachana na JF sasa habari zake na zife hafai kabisa. Kwanza ni opportunist tu!! Baada ya maisha kumsinda Amerika amerudi ili ajaribu kupata hela za kutanua maana anapenda kula na kujionesha wamo kumbe hana lolote. Kama ana madai kwa JF aende kwa uongozi wa JF. Ina maana yeye ni machine printer ya hela? JF inaendeshwa na founders na watu wema ambao wanataka habari isonge mbele!! Kwa kuwa ameona JF inakua sasa anataka kuikamua? Aseme rasmi alichangia kiasi gani cha hela ili members hapa tumchangie arudishiwe. Yaani kubwa zima halikui hili?
 
The height of nincompoomp!!yani ye kila leo kilio ni kilekile...oooh,alipowekwa ndani sikulala nilikesha ili atolewe...mxiiii,kweli a silent fool is counted wise!

Hivi linafanya nini Tanzania? Kule kumeota kimavi au? Pole zako mtoto wa FISADI na ubunge Tanzani hupati hata kwa mtutu wa bunduki kama ule wa polisi wenu. Bora urudi ukabebe maboksi tu kama ulivyozoea. Bongo ngumu na mzee keshachoka hawezi kumbeba na wajukuu!!!
 
Mimi nilisoma humu JF yeye mwenyewe akijisifia kuwa alianzisha kiboko ya serikali yaani JF

Ninatamani sana awe mwongo, hakustahili kuwa mwanzilishi, kama imetokea ni bahati mbaya. Kama hayupo, nitamchinja yule beberu niliyepewa na bibi nifurahi na watuwangu

Kama ana hela alichangia hapa arejeshewe kabisa mkuu. Maana anajidai mno. JF alikuwa anaiongoza akiwa Amerika? Basi kama msomi aliyetoka familia ya wenye nazo sasa analialia nini?
 
Vipi alikosa nauli ya kuridia usa?

Anavyopenda kujirusha na wanawake mastaa wa kibongo michizi ya wanaume si mihela itakuwa imeisha?? Sijui hata kama liwekeza huku cash cows ili awe anakula kuku kwa mrija!!! Waliosoma naye wanajua vema IQ yake!!
 
William unaiabisha familia yenu, these are traits of a social ladder climber, not a secure graceful patrician from a family rooted in international eminence.

Don't let us think Chief Mazengo did us a disfavor by giving your family the opportunity to go to school early in his stead.
 
...Kinachonishangaza ni kwanini Baba yake Mzee Malecela na dada zake William akina Mwele, Seche etc hawakemei ujuha unaofanywa na huyu jamaa kila kukicha.

William unaiabisha familia yenu, these are traits of a social ladder climber, not a secure graceful patrician from a family rooted in international eminence.

Don't let us think Chief Mazengo did us a disfavor by giving your family the opportunity to go to school early in his stead.
 
Nashindwa kabisa kuelewa akili za huyu Mpumbavu William Malecela, ninavyojuwa mimi kuna JF Media na kuna JF Home of Great Thinkers.

Na katika docs za BRELA huyu maandazi hisa zake ni 6% tu, sasa angelikuwa na hisa 51% sijui ingekuwaje! ni vigumu sana kwa matendo yake kuamini ni Baba wa miaka 51 na anelekea uzeeni, lakini akili zake haziwezi kumfikia hata nusu mtoto wangu ambaye yuko Primary school.
 
Punda mwana punda, nenda mwana kwenda, tokomea mwana kutokomea.
sijui huyu jamaa hajagundua tu kukaa kimya ni bora kuliko kupiga makelele?
 
kama kuna kitu chief mazengo alikosea ni hapa!
aligoma kuwapeleka watoto wake shule kwa kuwaonea huruma watapata tabu na kuangaika hivyo
akaamua awapeleke watoto wa wachungaji yaani vibarua wakaangaike na wadhungu. kumbe ndo akawapa maisha
sasa tatizo lina kuja hivi... kwasababu wakinamalechela hawakutokea kwenye uchifu ni kwamba wanajikuta hawakulelewa katika familia ya kujitoa kwa wengine na muda wote wamekuwa watu wakukumbatia ili walivyonavyo visipotee
matokeo yake wamewaacha wagogo waskini na wao wakiwa matajiri wa kutupwa.
yapo mengi yanaweza kuelezwa kuhusu familia hii ikilinganishwa na umaskini wa wagogo ikiwa ni pamoja na kukosa viwanda lakini ubinafsi hauna maana. ndo ulioufikisha nchi kwenye shida
hebu fikiria chifu mazengo jamii yake haijawahi kurudi kwenye utawala labda ujumbe wa nyumba kumi kwa kuwa nahisi waligandamizwa na kumezwa kwa njia moja au nyingine.
kwa leo naishia hapa mkiendelea kubishana natua na bomu lingine bora mnyamanze
 
Back
Top Bottom