Hillyborogh disaster vs Mwangosi Killings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hillyborogh disaster vs Mwangosi Killings

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjenda Chilo, Sep 13, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kwa wapenzi wa soka duniani na wapenda amani duniani mtakumbuka janga la mashabiki wa club ya Liverpool walivyokufa uwanjani, sababu na propaganda zilitolewa eti mashabiki wale walikuwa walevi, na pia mienendo yao ya awali ilichunguzwa kuona trend ya uhalifu wao. Ikumbukwe janga hili lilitokea mwaka 1989 baadae watu wakakomaa na ndipo tume huru ikaundwa kuchunguza na ripoti yake kuwekwa hadharani jana. Imebainika polisi kuhusika na inasemekana kuna maisha ya kama watu 31 wangeweza kupona, leo nimeona statement ya PM wa Uk akiapologize, naunganisha na tukio letu hapa la polisi kuhusika moja kwa moja japo mwanzoni nilisikia statement ikitolewa na kigogo kama si msemaji wa police eti bomu lilirushwa na wananchi. Kiufupi nimejikuta katika wakati mgumu, japo motive behind inaweza kuwa tofauti yani siasa za bongo na soka ulaya lkn yote ni kuhusu usalama wa raia na uwajibikaji pindi unapochemsha, wadau mmepata chochote cha kujifunza? au hii ndo style ya dunia yote? mimi changamoto nayoiona ni uthubutu wa tume ya uin
   
Loading...