Je unajua hii habari kuhusu jiji la dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unajua hii habari kuhusu jiji la dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KiuyaJibu, Jul 27, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Habari yenyewe ni kama ifatavyo:

  Jiji la Dar es salaam linazalisha tani 24,000 za takataka kwa siku;na 37% ya takataka hizo ndiyo zinazo zolewa na kutupwa sehemu husika;

  Jiji la Dar es salaam ndiyo jiji la 03 kwa uchafu katika bara la Afrika;

  Jiji la Dar es salaam ni jiji la 12 kwa uchafu katika hii sayari inayoitwa dunia.

  Maelezo zaidi unaweza kupata kwa meya wa jiji la Dar es salaam.

  Hongereni wakazi wa jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake kwa kuweka rekodi kama hiyo kwa nchi ya Tanzania.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  nipe chanzo cha data hizi, hicho chanzo ulichopendekeza siyo reliable hata kidogo.
   
 3. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  wewe muongo, uliwahi fika india ? kuna miji michafu x150 kuliko DAR YETU BOMBAY YENYEWE MAJENGO HAYAJAWAHI PAKWA HATA CHOKAA YA KULOWEKWA KAMA MIAKA 100 ILIYOPITA, watu wana kufa barabarni, dar ni safi sannnaaa
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,269
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  ccm oyeee
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Dar among dirtiest cities in Africa, says minister Tuesday, 08 February 2011 22:12

  By Joas Kaijage,
  The Citizen Correspondent
  Bukoba.

  Tanzania commercial capital, Dar es Salaam, is ranked among top dirtiest cities in Africa according to the minister of State in the Vice President's Office responsible for Environment, Ms Tereza Huvisa.

  Ms Huvisa said uncontrolled importation and disposal of plastic materials as well as poor management of waste water, has made Dar es Salaam dirty.

  Speaking recently here, she said plastic waste was not only a big challenge related to urban pollution in Dar es Salaam and other urban centres, but also was in contravention of the Environmental Management Act of 2005 along with stipulated plastics management regulations of the same year.

  Addressing delegates to the Lower Kagera River trans-boundary agro-ecosystem management programme in Bukoba, the minister said urban pollution emanating from uncontrolled waste management did not only impact on urban dwellers but also water catchment areas.

  She said there was a need for stern measures to be taken against those acting in contravention of the Environmental Management Act because uncontrolled importation and use of plastic bags poses further environmental challenges whose consequences have begun to adversely impact on the country.

  "It is in this context that I wish to reiterate the government's decision to designate every Saturday of the month as the ‘Clean the Environment Day' to ensure that everyone builds a culture of ensuring that the environment that surrounds him or her was kept clean," she emphasised.

  She revealed that the launching function of the "Clean Environment Campaign" would be officiated by The Vice-President, Dr Ghalib Bilal on February 12, this year, as a gesture of igniting a countrywide campaign of environment cleanliness.

  Ms Huvisa said environmental degradation turmoil that the world was witnessing at the moment was a wakeup call for governments and the general public to improve their unpalatable ways that pollute the environment and other ecosystems.

  She said it was time for environmental stakeholders to act immediately against causes of environmental pollution.
   
 7. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Duh ni vema kujichunguza kama unahusika kwenye huu uchafu maana ni aibu sana kukaa kwenye uchafu!
   
 8. k

  kasiwani Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiji la dar halitakaa liwe safi hata sikumoja,ukiangalia ujengaji nyumba huko uswahilini ni balaa kwelikweli labda mipango miji waingilie kati,yaani utakuta mtu nyumba yake upande wa sebuleni kwa jirani yake ndio choo tena cha shimo,sehemu nyingine unakuta jirani yako ambaye yuko karibu na barabara ile sehemu ambayo ingebaki kuwa njia ya kupita jamaa anaongeza chumba na njia anaziba kabisa ss inabaki shughuli kwa wewe jinsi ya kutoka kwenda kujipatia mahitaji na huo usafi utafanyikaje hizo takataka utazipitisha wapi,niliwahi kuona nyumba moja ili yozibwa waliamua kupitisha juu ya paa kingazi cha mbao ili waweze kufika barabarani ni hatari sana.Uchafu ni pamoja na ujenzi holela cjui kama serikali inaliona hilo au ndio yaleyale mambo ya kujuana mtu kajenga kwenye open space hafuatiliwi kwa ni ndugu wa kigogo fulani......nawasilisha
   
 9. k

  kasiwani Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiji la dar halitakaa liwe safi hata sikumoja,ukiangalia ujengaji nyumba huko uswahilini ni balaa kwelikweli labda mipango miji waingilie kati,yaani utakuta mtu nyumba yake upande wa sebuleni kwa jirani yake ndio choo tena cha shimo,sehemu nyingine unakuta jirani yako ambaye yuko karibu na barabara ile sehemu ambayo ingebaki kuwa njia ya kupita jamaa anaongeza chumba na njia anaziba kabisa ss inabaki shughuli kwa wewe jinsi ya kutoka kwenda kujipatia mahitaji na huo usafi utafanyikaje hizo takataka utazipitisha wapi,niliwahi kuona nyumba moja ili yozibwa waliamua kupitisha juu ya paa kingazi cha mbao.Uchafu ni pamoja na ujenzi holela cjui kama serikali inaliona hilo au ndio yaleyale mambo ya kujuana mtu kajenga kwenye open space hafuatiliwi kwa ni ndugu wa kigogo fulani......nawasilisha
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Oyeeeeee, kidumu Kikwete...
   
 11. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Watu wa Mipango miji wamelala usingizi wa pono...sasa unategemea nini hapo?!! wakuu wa serikali wanawaza madli tu
   
 12. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Chanzo cha habari ni taarifa aliyoitoa/aliyoisoma tarehe 27/07/2012 meya wa jiji la Dar es salaam mbele ya wadau wanaoshughulika na issues za mazingira.
   
 13. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  Ni jiji la tisa DUNIANI kwa kasi ya ukuaji.
   
 14. f

  filonos JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  hiyo taharifa sio kamilifu mbona hakitaja PORT SUDAN ..JUBA SUDAN ..NIKARAGUA ...PORT OF PRENCE ...KING STON JAMAICA... LUBUMBASH....NEPAL...COROMBO SIR LANCA
   
 15. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liwe na liwalo=dhaifu
   
 16. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  See for yourself below:

  City Mayors: World's fastest growing urban areas (1)
   
 17. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
Loading...