Mbinu mpya ya polisi juu ya mgomo wa waandishi kuandika habari zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu mpya ya polisi juu ya mgomo wa waandishi kuandika habari zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Sep 13, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona sasa wameamua kutumia migongo ya kampunimkubwa ili wiki yao ya usalama ipate coverage
  Jana kwa mgongo wa Airtel ilikuwa kuhusu ajari za barabarani pia jana iyo iyo walitembelea TBL ili theme ikiwa Watu kutolewa wakiwa wanaendesha Vyombo vya moto
  Nijuavyo haya makampuninmakubwa huwapa tip waandishi wa habari kufanyancoverage so kwa mwendo huu ndugu zangu waandishi mumezidiwa kete maana theme ya wiki yanusalama it will be spread kupitia haya makampuni
  Am sure kesho watajifanya wameenda tigo kuongelea ubaya wa kundesha gari uku unaongea na simu
   
 2. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siyo dawa ipo siku hata polisi watauwawa kama kuku
   
Loading...