Mramba na Mbilinyi wa Tanesco,wameongea shudu leo ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mramba na Mbilinyi wa Tanesco,wameongea shudu leo ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by snochet, Sep 12, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nimesikitishwa sana na hawa majamaa kuongea mbele ya vyombo vya habari wakisema wamekamata luku zenye umeme wa wizi kama 90.na wamekang'oa service line kama 40 za watu,wakijidai kwamba watafungua mashtaka kwa wale ambao wanaiba umeme......are these people serious kweli?nchi kubwa kama Tanzania kuna wezi wa umeme hao tu!,na ndio ambao kwa mwaka wanaleta hasara za mabilioni ya fedha......where are we going lakini.......are these officials serious?kukaa mbele ya camera kuongea shudu ivyo....!!!....imenichefua sana....wats ur take on this?
   
 2. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,136
  Likes Received: 80,640
  Trophy Points: 280
  kwao huo ni ufanisi mkubwa sana lakini watueleze ni viwanda vingapi vya wahindi wachina waarabu nk wamevikamata na umeme wa wizi? tucdanganyane waliokamatwa ni vidagaa mapapa yameachwa upo?
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  NADHANI WEWE NDIO KICHEFUCHEFU NA ni mmoja wa wezi

  anything towards reducing wizi wa rasilimali ni sawa..

  ulitaka waseme nini??

  seeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenz
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msiwalaumu Tanesco kwa kushindwa kubaini wezi, kumbukeni ili umkamate mwizi unatakiwa uwe na akili kubwa kuliko ya huyo mwizi. Sasa basi hao wezi wa umeme wana akili kubwa ya kuiba umeme kuliko hao Tanesco, na ukweli ni kwamba kuzalisha umeme na kuuza ni tofauti sana na kuulinda umeme usiibiwe.
  Mimi nimeiba sana umeme kwa muda mrefu lakini sasa nimeacha kwa sababu wamenirekebishia Tarrif na walikuwa wanakuja hawagundui kabisa naendelea kuenjoy vya bure.
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Janjaweed,tanzania yote hii,wizi wa umeme ni mkubwa sana,sio vyema kuita vyombo vya habari ili vitangaze kitu kama hiki,hizo figures nina wasiwasi ni za mkoa mmoja tu,ila wanasema ni operation ya nchi nzima,,,,wewe inaingia akilini kweli,ina maana hao wezi wachache ivyo ndo wanaleta hasara za billions?.......ninachotaka waseme(mawazo yangu tu haya) ni kwamba,hizo results ni za mkoa flani tu,the rate ya wizi wa umeme hapa Tz is way too much above that.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. H

  Herg Senior Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaamini kwamba hao waliokamatwa wanaakili ya kingilia mtandao wa TANESCO na kutengeneza units fake? Wamekamata Watu wao aw ndani wangapi?
   
 7. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Herg,kweli kabisa,,,,na hawa Tanesco,wamechukua hatua gani za kitaaluma ili waweze kuzuia wizi huu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Wamekuchefua ?wewe inaelekea ni mmojawapo wa wezi watch out .Mimi nawapa big up wakaze buti wapo wengi ni wezi tu kama wewe
   
 9. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  UPOPO....wamenichefua kwa kutoa taarifa za kujisifu wakati hawajafanya lolote,pili,mimi sio mwizi ,na hata kama ningekuwa mwizi wasingenikamata,maana wako wengi tu,hawajakamatwa hadi leo.........wakaze buti,na waache kuongea uongo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Kwani umeambiwa ndo wamemaliza kuwakamata wezi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ................walichofanya hao ni kama kutoza 2% vat kwenye madini ya dhahabu, halafu ujisifu umepaaata !
   
 12. m

  mymy JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mramba + Mbilinyi= Dhaifu
  vyeo vyenyewe wamepewa na hao wanaounda mitandao ya unyang'anyi mkubwa-mkubwa wataweza kuwanyooshea vidole unadhani? kichefuchefu kitupu
   
Loading...