CDM ni kuku wa kienyeji na CCM ni bata wa kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM ni kuku wa kienyeji na CCM ni bata wa kienyeji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Jul 18, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kuku wa kienyeji huwa anataga mayai kutamia hatimae kuangua na hulea watoto kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu ikiwemo kuwa protect chini ya bawa zake pale adui yeyote akiwemo mwewe anapojitokeza.

  Bata-huwa anaongoza mbele na kuacha watoto nyuma wakiwa wanamfwata kwa lolote litakalo wapata mama Bata wala hausiki nalo.
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kama ina ukweli vile
   
 3. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mhhhhhh, kuna bata nilimuona anajaribu kumkimbiza mwewe, bahati mbaya ilitokea akageuka nyuma na kuona mtoto wake anaibiwa.
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni ukweli mtupu
   
 5. M

  Magarinza Senior Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha kuku wala nini hapa. CHADEMA ni chama cha wazalendo wa kizazi kipya tanzania nukta.
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Atakuwa alikuwa amepatwa na uharisho. Hata hivyo bata ni mzito sana kwenye maamuzi mpaka matendo
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sawasawa bata
   
 8. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kama ni hivyo CUF ndio watakuwa Jogoo,Ccm na Cdm wote kazi yao kutaga,
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ccm ni sawa na nguruwe , ambae akizaa ni rahisi kula hata watoto wake
   
 10. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mmmmm 999% naona ni kweli kabisa
   
Loading...