29 watimuliwa TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

29 watimuliwa TANESCO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PISTO LERO, Sep 12, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa kiongozi mmoja wa juu wa Tanesko nikuwa wafanyakazi 29 wa shirika la umeme Tanesko wamefukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani hi leo,hawa ni wale waliotengeneza mgao feki wa umeme na kulihujumu shirika hilo.

  UPDATE:

  Imedhibitishwa kuwa ni kweli,na nimpango mahususi wa kuwazaba midomo wapinzani kufuatia operetion mbalimbali zinazoendelea nchini. Mtoa taarifa pia anasema hi inatokana na hali kuwa mbaya katika chaguzi zinazoendelea ndani ya chama Tawala.kwani hali imendelea kuwa mbaya kwa baadhi ya makundi ya wanaotaka UKIRANJA MKUU kwani baadhi ya makudi yanahusika mojakwamoja na hujumahii hivyo wanapata wakati mgumu wa kutetea nafasi zao ndani ya chama na hivyo kuamua kuwatoa kafara walio chini yao kwa maslahi ya wakubwa ili kuuhadaa uma wa Watanzania kuwa hawahusiki na wizi huo. ( nakuhakikishia hali ni mbaya sana huko juu,mambo hayaendi kabisa wakubwa wanakimbizana kutetea nafasi zao si mchezo kila kambi inajiimarisha inavyoweza na kila mbunu itatmika nakuhakikishia.)mwisho wa kumnukuu.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Serikali iwe makini na hizi kesi, maana kama hakuna ushahidi wa kutosha zitawaingizia hasara watanzania
   
 3. K

  KINUKAMORI Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesi zinaenda mahakamani lakini jibu halipatikani wamefanywa nini, ni sawa na tume, ikiundwa tunatangaziwa mwisho wa tume jibu kapuni
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kweli hizi kesi hazina manufaa. Bora wangetimuliwa waende home tu wakapumzike.

  Lakini wengine humu wangelalamika why hawajapelekewa mahakamani!
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tatizo ni ccm
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ngeleja ataunganishwa kwenye hii kesi?
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watimuliwe kazi tuu kesi kwa Tz ya sasa ni useless mnawafanya mahakimu wawe busy unneccessarily
   
 8. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwanini mtuhumiwa namba moja asiwe waziri wa nishati wa kipindi hicho cha mgao.Wafanyakazi hao walipata wapi mamlaka ya kuanzisha mgao.
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sikumbuki serikali ama mashirika ya umma kushinda hizi kesi za kuwatimua kazi wafanyakazi wake.
   
 10. T

  Tata JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Kuwatimua bila ya kuwafungulia mashtaka bado hakuwazuii hao wafanyakazi kufungua kesi za kupingwa kufukuzwa kazi.
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ninawasiwasi tena hili nitaweza changa la macho Katika kuwatoa baadhi kafara ili kumaliza tuhuma za wakuu wetu.
   
 12. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hivi wakuu mnaamini hizi tambo kwamba mgawo umeisha? Kwa mitambo ipi ya umeme? Haya majenereta ya emergency yanayotukamua watumiaji?
   
 13. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hadithi ni nzuri kama itakuwa fair. Je, vigogo nao wamo?
   
 14. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 939
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Je kweli hiyo list kuna dada yetu Badra Masoud? maana kuna Kaka siki hizi ana kaimu nafasi yake
   
 15. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  After 3/4 years, kesi hizi hugeuka kuwa dili kubwa kwa mahakimu!! Jamaa hushinda na kulipwa kimya kimya Nchi ikabaki na maumivu makubwa.
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli basi hiyo ni hatua nzuri sana.
   
 17. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  list hiyo iko wapi mkuu tunahitaji kujua watu waliomo ili tuweze kupata habari kamli
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa hao wakawa walikuwa wanatumiwa na chadema, kweli siasa za nchi hii ni za kipumbavu.  Note;we all know, hata JK angefanya zuri gani sio tu kwamba msingelisifia lakini msingelipenda kabasi hata kutokea kwake
   
 19. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hiyo update ni ya habari hii hii au?
   
 20. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ndiyo mkuu
   
Loading...