polisi yupi ni msafi..............? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

polisi yupi ni msafi..............?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Sep 12, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE]
  [TR]
  [TD]Polisi yaunda kikosi kusafisha bandari


  na Happiness Mnale


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE]
  [TR]
  [TD]JESHI la Polisi nchini, limeunda kikosi kazi chenye lengo la kuhakikisha bandari ya Dar es Salaam inakuwa salama kwa kuondoa ubadhirifu. (chanzo ni gazeti la mtanzania daima)
  NAULIZA ;
  1. kwani huo wizi, ubadhirifu nk, umeanza leo.....? mlikuwa wapi
  2. baada ya kushikwa polisi wenzenu ndo mnajifanya kuzinduka ... yuko wapi polosi muadilifu........?

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Yule rpc wa iringa ndio msafi kuliko police wote
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  gazeti gani?...au Tanzania Daima
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  bro ni tanzania daima la 12/9/2012.
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  polisi msafi atakuwa ni traffic police,maana anavaa nguo nyeupe
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  Du ama kweli nimeamini, "Samaki mmoja akioza..."

  Namwonea huruma baba yangu...
   
Loading...