Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani?????????
Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna...
Kwa mujibu wa wizara husika safari moja itabeba abiria 900 sawa na Coaster 22,kwa siku abiria 5400 watatumia hii huduma nini maana yake
1.ubungo posta itatumia dk 45 which means itaokoa mda ambao...
The Founding of Baraza Kuu (The Supreme Council of Islamic Organisations and Institutions of Tanzania)
By Mohamed Said
By 1990s BAKWATA was literally dead. Its decision to appease the...
Ajali zaua 1,800 nchini
na Mwandishi wetu
JUMLA ya Watanzania 1,800 wamepoteza maisha katika ajali mbalimbali zilizotokea nchini kati ya Januari na Juni mwaka huu.
Kauli hiyo...
Shija Felician, Kahama
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, juzi alimkwida na kumuondoa katika mstari wa viongozi kwenda kupata chakula, Diwani wa Kata ya Nyihogo (Chadema), Amos Sipemba...
Na Muhibu Said | 14th September 2012
Nyumba inayodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare.
Nyumba inayodaiwa kumilikiwa na...
Comrades,
Naomba kujua kama serikali iliishafyata mkia wake mrefu kuhusu mtu aliyeaacha kazi kuvuta fao lake la akiba kabla ya kufikisha miaka ya 55 or 60. Na zile longolongo zimefikia wapi?
KINYWA cha mwanadamu hutamka yale yanayotawala na kuijaza akili yake, ndiyo maana simshangai mbunge wa jimbo la Bunda mkoani Mara ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (mahusiano na uratibu)...
Watu wanakufa kila siku, magari kuharibika vibaya, kutokana na kuwepo kwa mashimo ya ghafla barabarani ambapo hakuna hata alama inayowekwa kutahadharisha madereva.
Ukifikiria kwamba kwa kila lita...
Wadau wa mkwawa mnaikumbuka ARTIST CORNER?.Lol ilikuwa very interesting kwani wana ART walikuwa wanawasilisha hisia zao hapo kwa kutoa mashairi na michoro ya katuni yenye ujumbe mzuri kabisa.Kuna...
Kamati hiyo iliyofika Iringa kwaajili ya kufanya uchunguzi kuhusiana na kesi ya mauaji ya Mwandishi wa Habari wa channell ten na Mwenyekiti klabu ya waandishi wa habari Iringa iliyokuwa imefikia...
By NATALIYA VASILYEVA Associated Press
MOSCOW September 10, 2012 (AP)
A highly connected former KGB officer who has openly rebelled against President Vladimir Putin faces expulsion from...
"AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO" Huu ni ujumbe kwa askari polisi wote, kutokana na utii wao wa amri sasa wameanza kutumika vibaya, kama kuua raia bila kujua kwamba watoa amri hizo...
Tangu mchana kuanzia saa 6:30 hadi jioni ya leo kamati hiyo imeendelea na mahojiano na makundi tofauti matatu, ilianza na serikali ya kijiji tangu saa 6:45 hadi saa 9:30 imekaa na serikali ya...
Kamhanda; ameuawa na kitu kizito kilichorushwa na wananchi.
Nchimbi: Nimeunda tume kuchunguza mauaji hayo
Nchimbi: Mwangosi ameuawa na bomu.
Matamshi hayo yana utata kwani baada ya kuona picha...
Mambo vp wadau? Ebwana na mpango wa kuanza ujenzi wa nyumba ya gorofa, tatizo naambiwa kuwa ili kujenga nyumba ya gorofa, kuna utaratibu wa kufuata ili kupata kibali, kwamba kuna ishu ya ramani...
Gender and Well-Being Around the World
Carol Graham and Soumya Chattopadhyay examine gender differences around world comparing age, income, education and location and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.