Ajali ya daladala eneo la kigogo

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kuna ajali mbaya sana imetokea eneo la KIGOGO baada ya DCM kuanguka na kulalia ubavu huku ikiwa na abiria ndani. Sikuweza kujua kama ilikuwa inatokea KINONDONI au Kariakoo kwa sababu ilikuwa imejilala ikiwa imekatiza barabara na kusababisha foleni kali sana. Mwenye updates na vifo ama majeruhi atujuze.
 
Mamaisara, mimi nimepita njia hiyo nilikuwa natokea maeneo ya Mabibo, gari iliyopata ajali ni gari ya (G'mboto au Mbagala)-Mwenge DCM, na ilikuwa inatoka maeneo ya magomeni that's mwenge, nimekuta gari ndio inanyenyuliwa sikuona majeruhi ila watu walikuwa wengi maana mimi nilipita hapo nikitokea mabibo kuja huku Upanga kupitia magomeni.
 
Mamaisara kumbe ulikuwa huko ndo maana huonekani kwenye thread ya Jenerali Ulimwengu?? Tumekulima kweli kweli nenda kajibu.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom