HUU Ndio UTAMU WA MCHEZO WA SIASA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HUU Ndio UTAMU WA MCHEZO WA SIASA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIM KARDASH, Sep 13, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli hii ni ngoma ya siasa naona inachezwa....aliesema chama chetu cha wachagga na wakristo nani?????????????
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ni jambo jema ndugu kukaa pamoja kwa amani na ushirikiano namna hii.
   
 4. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hasa kukiwa na nia njema pasipo kuviziana ndio hupendeza zaidi
   
 5. mauro

  mauro Senior Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni wakati wa mfungo huo walikua wanafuturu pamoja na wananchi .Mbona hata gazeti la mwananchi walizionyesha ?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Hakuna kazi nzuri kama hii...ya kula baada ya kutoa jasho
   
 7. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  inapendeza, haya sasa wale wanaotaka kupandikiza chuki waache nafikiri wameona.
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bila shaka haya ni maandalizi kabambe ya kuzipata kura za waislam,Ni ngumu nchi hii kushinda uchaguzi hasa wa urais bila kupata mseto wa kura za waislam na wakristo,nimelisema hili mara kadhaa kwamba chadema watoke maofisini waingie uswahili wajitakase mbele ya waislam ambao hawaitazami uzuri chadema,wanakiona kama sio chama chao pengine kutokana na propaganda za wapinzani wa chadema kisiasa
   
Loading...