Tabia ya serikali kuendesha mambo kijanja janja

agtheprodigy

New Member
Sep 6, 2012
1
0
ujenzi wa daraja la kigamboni umeanza hv karbuni na ujenzi huo utakao chukua mda wa miaka mi 3 hadi kukamilika utakua ukidhaminiwa na mfuko wa NSSF,.Je wana JF wenzangu hii kweli co sababu iliyoifanya serikal wawakataze watu kuchukua ela zao za NSSF mpaka pale watakapofksha miaka 55..?
Tafakari.. Chukua Hatua
 
Back
Top Bottom