Makamanda nishati na madini kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamanda nishati na madini kiboko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WWP, Sep 13, 2012.

 1. W

  WWP New Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF napenda kusema ya moyoni. Hivi ni kweli tulikuwa tunateseka wadanganyika kwa mgao bandia wa umeme? Mbona tangu wachukue wizara hawa jamaa hatuoni tena mgao isipokuwa kama kuna hitilafu ya mitambo au njia? Kama huu ndio ukweli, kuna haja kwenye katiba mpya tupitishe kunyongwa wahujumu uchumi kama hao. Karagabahooooooooooooo.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hakuna wakumnyonga mwenzake ndani ya ccm, hakuna , Hakuna , hakuna.
  Chama cha wahuni ccm, kila alioko kule muhuni wa aina yake.
   
 3. aye

  aye JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  yaani tanesco kidogo pamenyooka kwakweli nawapongeza sana waendelee ivyoivyo
   
 4. K

  KINUKAMORI Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  At list kuna ka mwendo sijaona tatizo la umeme, ufisadi ulikua ndani yake
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  inakuwaje mteja anakaa miaka kumi bila kulipia umeme
  inakuwaje nguzo zinazotoka hapo Mufindi tunauziwa sh 1000,000?
  Mungu mwema kwa kumweka kiongozi asie mwanasiasa Tanesco
  tunataka mabadiliko zaidi umeme haupaswi kukatika
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukikaa chooni kwa muda mrefu hasa za uswahilini lazima unuke mavi hivyo walio wasafi ndani ya CCM wana nuka mavi pia...
   
 7. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  wajirekebishe kwenye bei zao hawa tanesco,wanatuumiza sana kwenye bei ya unit moja ya umeme na ndo maana mi naona hata hao wanaoiba ni sawa tu kwani kiuhalali huwezi kumudu gharama zao,waziri mwenye dhamana na hii wizara ajaribu kurekebisha hii ki2 kwani inatukwaza sana watanzania na ndo maana kesi za wizi ni nyingi sana
   
Loading...