Kenya: Madaktari wagoma kushinikiza kurudishwa kazini wenzao 393 waliofukuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya: Madaktari wagoma kushinikiza kurudishwa kazini wenzao 393 waliofukuzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raymg, Sep 13, 2012.

 1. r

  raymg JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Madaktari nchini kenya wameanza mgomo leo hii nchi nzima kushinikiza wenzao ni zaidi ya 393 walisimamishwa kazi katika mgomo wa awali warudishwe kazini....source k24 news
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Though posted at the wrong forum, but thanks for the info mkuu..tried to check their demands other than the re-stating the sucked doctors..the doctors(Kenyan doctors) have real good plan.
   
 3. r

  raymg JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  madactari TZ mpo wapi?
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  Walimu,wahadhiri, madaktari, season of discontent Kenya.
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huku kwetu bado wanajipanga, muda mfupi ujao wataingia mtaani, sio tu kudai wenzao kurudi kazini, pia kudai nyongeza zaidi, maana kilichoongezwa July, chote kimeishia kwenye kodi kimsingi.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wapo macho full!! Ila wanaifutia kasi serikali legelege ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania!!

  Na hapo ndipo tutakapomsikia PM wao atakapotoa kauli hii LIWALO na LIWE

   
Loading...