Pesa ya richmondi si wangepewa wana wa nchi hii.....angalia hesabu nyepesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ya richmondi si wangepewa wana wa nchi hii.....angalia hesabu nyepesi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Man 4 M4C, Sep 13, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  1. kwa siku richmond walilipwa milioni 152 kwa miezi 21 = siku 21x30=630
  2. watanzania wote hadi leo hatujafika milioni 50
  3. umeme hawajazalisha,
  4. kama pesa hii tungeamua kuwagawia taslimu watanzania basi kila mtu hadi watoto wacha nga wangepata mil 152/50 = mil 3.04.
  5. kwa siku 630 kila mtanzania angekuwa na sh mil 3.04 x 630 = milioni 1915.2 yaani bilioni moja na milioni 915 na laki 2.
  6. kama familia yenu ina watu 10 kwa siku mngepata mil 3.04 x 10 = mil 30 na laki 4
  7. pesa ya kila siku kwa familia ya watu 10 ingetosha kujenga nyumba ya thamani ya mil 30.
  8. baada ya siku 10 familia ya watu 10 kila mtu angekuwa na nyumba ya thamani ya mil 10.
  9. pesa ya siku zilizobaki 630-10 = siku 620 ingefanya kazi nyingine.
  10. je kwa hesabu nyepesi hivi kuna mtu angekuwa masikini?

  sasa hii ilikuwa richmond tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!unataka nyingine????je unasababu ya kujidai wewe ni mwana mwabwepande?
   
 2. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  unafahamu kuwa let say tupo watanzania mil 40 na kila mtu apewe milioni moja,jumla itakuwa shilingi ngapi,ni pesa mingi mno cjui kama hata tajiri wa 20 wa dunia atakuwa nazo,jipange upya upige hesabu zako vizuri bro
   
 3. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UMECHEMKA MKUU. kama maandishi na namba vinakuchanganya Labda utumie hii:-

  Huo mshiko ni Tshiling = 52,000,000 = 1.10 (Shilingi moja na senti 10)
  Idadi ya wa TZ wote ni 47,000,000
   
 4. k

  kwitega Senior Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowahasaaa Njaakaya na Rostitamu wanajua utamu wa Richmond.
   
 5. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ...umenikumbusha hesabati za magazijuto......kwa ukototozi wako.... nimemkumbuka sana mwalimu wangu....mama d (Rip)....alitusisitiza tusisahau sifuri.......
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Umechemka maana si nyingi kiasi hicho unachofikiri - kwakifupi itakuwa TZS 40 Trillion au US$ 25 Billion, hivi unajua utajiri wetu wa gas sasa umefikia US$ 300Billion? ambazo ni sawa na TZS 480 Trillion?
   
Loading...