Toka ukerewe: Serikali kununua nyumba ya msekwa kwa ajili ya kufikia viongozi wakubwa wa kitaifa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka ukerewe: Serikali kununua nyumba ya msekwa kwa ajili ya kufikia viongozi wakubwa wa kitaifa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by only83, Sep 13, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa anatarajia kuiuzia Serikali ya Wilaya ya Ukerewe nyumba yake iliyo katika eneo la Bomani mjini Nansio ambayo imekuwa ikitumiwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa wanaokwenda wilayani humo kwa ziara za kikazi. Uamuzi huu umetangazwa leo na mkuu wa wilaya hiyo ndugu Mary Tesha wakati wa kuwakilisha taarifa ya maendeleo ya wilaya hiyo mbele ya waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda anayeendelea na ziara ya siku saba mkoani Mwanza. Mkuu wa wilaya aliendelea kusema kuwa wamepata nyumba mbili ambazo wanadhani zitafaa kuwa makazi ya viongozi wa kiserikali hasa wa ngazi za juu wanapofika Ukerewe..Moja ni ya Mzee Msekwa na nyingine ni ya Masumbuko Mtani.

  Mkuu huyo wa wilaya aliendelea kusema kuwa mwaka 2010 wakati JK akiwa ziarani huko Ukerewe aliagiza kujengwa kwa nyumba mpya ya mkuu wa wilaya, lakini bahati mbaya fedha ya mgao haikutosha.

  My take:

  Hivi ni kweli Serikali imeshindwa kujenga nyumba mpaka inunue toka kwa wananchi wake? Hii serikali ni dhaifu kiasi gani? Yani imezidiwa umaskini na wananchi wake. Tanzania ndio nchi ya kwanza ambayo raia wake wana pesa kuliko nchi yenyewe. Aibu kwa hii serikali.
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  "Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU"
  Movement For Change (M4C), Vua GAMBA vaa GWANDA

  :A S 101:
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  waache wapeane hela...nyumba ya sh million 200 mtasikia iliuzwa kwa billion 1...ndo bongo hiyo
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi ile sheria ya manunuzi inayokataza 'Used' ni magari tu?Dhaifu square!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  M4C

  Mambo manne (4) Chanya
   
 6. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Tuwekee picha hapa ili nyumba ikishanunuliwa tufanye uwiano wa fedha zetu na thamani ya jengo lenyewe yasije yakajirudia yale ya rada yaani quotation na manunuzi zilichanganywa kwa bahati mbaya!
   
 7. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ...pambafy kabisa hawa. Mmeshindwa kutumia wafungwa wa Butimba kufyatua matofali ya kujenga nyumba kubwa ya DC yenye rest house, lakini mnawatumia hao hao wafungwa kuwajengea nyumba zenyu !!
  Ni wizi tuu, hiyo muzee ina nyumba kibao sasa amejua anakaribia saa 6 usiku ndo anaanza miradi hii ya kujipigia pasi mwenyewe. Tsh ngapi mtanunua tuambieni tuone kama hazitoshi kujenga nyumba mpya...!! Huu ni ufisadi na ni Tz tu unaweza ona madudu kama haya....!!
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  only83 haya ndio mathara ya sheria ya manunuzi ya umma iliyorekebishwa ili kuruhusu kununua vituu vikukuu. Kwani hiyo pesa ya kununua nyumba iliyotumika serikali kupita wakala wake wa ujenzi hawawezi kujenga?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  J.K. naye alishawahi kulala pake kwa Msekwa mnamo 2010; Mkuu wa Wilaya kipindi kile Mama Queen Mlozi, alihangaika sana kupata sehemu nzuri ambapo Bw. Mkubwa ange dozi, lakini hatimaye Msekwa aliokoa jahazi
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  dili la kula mpunga!
   
 11. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi kwani zile Pesa Msekwa alizokuwa anadaiwa na serikali za matibabu ya mtoto wake London alishalipa? Mara ya mwisho nakumbuka alipoulizwa alisema "hakujua kama alitakiwa kulipa" Kama nakumbuka vizuri hazikuwa pesa nyingi ukizingatia hakuchajiwa interest; however pesa ni pesa tu, hivyo tunategemea atakumbushwa kulipa au zikatwe huko huko kwenye pesa za nyumba:confused2:
   
 12. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  :focus:
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  [HR][/HR]
  Excellent point, chap!

  Tanzania ni zaidi ya shamba la bibi wa kambo.
   
 14. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  picha ya nyumba
   
Loading...