AYUMI (Mbwa) Amepotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AYUMI (Mbwa) Amepotea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mungi, Sep 13, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  View attachment 64816

  Kwa yeyote atakayefanikiwa kumwona awasiliane kwa namba zifuatazo:

  +255 784 215 559
  +255 767 215 559
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ni yupi aliye potea kati yao?
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Nimemuona mitaa ya victoria mateja wanamuuza kwa buku 15000/=
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  wachina weshampiga kitoweo huyo

  RIP ayumi
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Duh, huu ni mtihani kweli. Yaani unatafuta mbwa aliyepotea hapa Bongo na wachina wote hawa waliojazana mpaka uswahilini utampata kweli? Sikukatishi tamaa lakini hii ni sawa na kutafuta dhahabu jangwani, maana siku hizi hata wabongo wanachuna mbwa na kuuza mishikaki usiku bar na sehemu zingine za biashara. Poleni kwa kufiwa.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  pole, ungesema dau lako vijana wangechangamkia
  peleka na tangazo radio za vijana utampata ukishaweka dau
   
Loading...