kwa nini walimu wa Kenya wanagoma wakati serikali imekimbilia mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini walimu wa Kenya wanagoma wakati serikali imekimbilia mahakamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkisumuno, Sep 13, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba kufahamishwa kwanini walimu wa Kenya wanaendelea na mgomo hata baada ya serikali kukimbilia mahakamani? Na walimu wa Tanzania walirudi kazini hata kabla ya rais wa chama chao kutangaza kurejea kazini. Mara baada ya mahakama kutangaza ubatili wa mgomo. Tofauti yake nini?
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakenya ni stubborn sana. wale jamaa wana mioyo ya chuma ndugu.
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hahaha...mkuu Babu yao, i guess ur are confusing btn stubborness and strength, i picture them as they can stand for their right, what's right..no matter how ages it may take..
   
 4. m

  mtwevejoe Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wananchi wa Kenya wote ni wanajeshi,hapa tz tatizo wananchi wengine ni wanajeshi,wengine polisi na wengine mgambo.
   
Loading...