Nimegundua kumbe KIBONDE hana matatizo na anapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimegundua kumbe KIBONDE hana matatizo na anapendwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Sep 12, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nafuatilia kila nikifungua jamii forum haipiti week lazima kutakuwa na habari ya lawama au kashfa kwa ndugu yetu kibonde wa clouds radio na kipindi cha jahazi. Kwanza nimegundua kipindi kinapendwa sana na watu wa aina zote kuanzia working class, wanafunzi mpaka viongozi wa juu wa nchi. Na hizi lawama anazopewa kibonde ni wivu na chuki za kawaida za watanzani wanapomuona mwenzao kafanikiwa. Eti utawasikia kibonde ana ngoma, mara hana akili kaishia form 4, mara anapendelea magamba, mara ndio mnyakyusa mjinga kuliko wote. Lakini juzi tu ameuliwa mwandishi wa habari watu wamekaa wanasubiri kibonde aongee . Ndio nikagundua kumbe kibonde anawaongoza watanzania wengi kiaina. Kwani kama wanavyosema kaishia form 4. Then why unamsikiliza na ku comment? Mara hana akili then kwa nini u deal na mtu asiye na akili kama wewe una akili? wanasema yeye ni magamba sasa si ameamua kupenda ccm au haruhusiwi si demokrasia? Eti ana ukimwi sasa kwenye radio kwani ukimwi ndio unaongea? Na pia anachoongea yeye ni maoni yake aonavyo si sheria. Ni hayo tu na mengine mengi. Watanzania tuache chuki na roho mbaya
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ...Ndugu, Unatafutia watu wapigwe Ban na Hizo....:blah: :blah: :blah: ...Zako !
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,580
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  We kiazi kweli, we msemaji wake,? Mantiki hamna ulitaka kuzungumzia chama tu hapo! Mods huyu mtu hafai maana roho imeshachafuka hapa.
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,346
  Likes Received: 7,827
  Trophy Points: 280
  senseless kupe
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,612
  Likes Received: 1,464
  Trophy Points: 280
  maneno yako ya kweli kabisa mkuu kupe
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,485
  Likes Received: 8,273
  Trophy Points: 280
  Kama kibonde hana tatizo, huenda clinic muhimbili kufanya nini?
   
 8. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,170
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Sawa Kibonde. Hongera kwa kujifagilia!!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  mtu kuwa maarufu na kupendwa na watu haina maana

  yuko sahihi na anachokifanya

  na wala haina maana asikosolewe

  ndo maana hata Nyerere alikuwa anakosolewa na kupachikwa majina tele
   
 10. M

  Mboko JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,060
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wewe mb..wi..ga ulitumwa na kibonde ati baada ya mwandishi kuuliwa watu walikuwa wakimsubiria Kibonde atangaze oooh wewe kweli ndondo Watu walikuwa wakimsubiria atangaze kama atatangaza pumba gani na sio ati watu wanamtegemea kilaza mkubwa wewe.Yule hata kama unamwambia huyu ni mbuzi Kibonde atasema jamaa mmoja kasema huyu ni kondoo kwa walio na akili timamu mtanielewa
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,583
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Mimi ndio najua leo kuwa Kibonde anasemwa kuwa na ukimwi. Huoni kama unazidi kumpakazia kama kweli anapakaziwa?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Kakulipa sh ngapi kwa hii promo?
   
 13. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 14. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  :focus:
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  Du Kibonde wa SSM!!! Hata kitu ambacho mtoto wa chekechea anaona si haki lakini Kibonde anaona ni sawa ili mradi tu kinamsogeza karibu na ukuu wa wilaya!!! Yaani alipokoromea madaktari wakati walimwokoa akiwa nywele kama za sungura kichwani na sasa ana kitabu na matumaini basi, sina hamu naye!!!!
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Haya bwana kibonde unatoa ya moyon baada ya kumaliza kipind jahaz
   
 17. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 6,716
  Likes Received: 2,179
  Trophy Points: 280
  Unampenda wewe, japo sijui wewe ni jinsia gani!!!
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,950
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Mleta Uzi hembu nipe data kuhusu ile baa aliyofungua huyo jamaa yako unayemfagilia bado inadunda?
   
 19. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mnasema kibonde hana akili sasa huwa mnasubiri vipi kumsikiliza mtu asiye na akili au kama unavyoita chizi . nadhani nyie mnaosubiri kumsikiliza chizi ndio machizi zaidi
   
 20. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ooh ok kumbe ni mtu maarufu na anapendwa na watu eeeh . Leo nimeelewa zaidi
   
Loading...