Kweli haya ni maajabu!

Kuna tuzo kwa mwenye post nyingi?? Si lazima u-comment kila post inayotolewa. Jipange brother!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwani kuna tuzo ya kupost!!kama huna cha kupost si unasoma za wenzio!!
 
naona kuna magugu maji yanataka kuharibu maana halisi ya forum yetu
kama huna cha kupost changia za wenzio kama mimi,
msg kama hizo zinawafaa wavuta bangi wanaota ndoto za mchana
 
Maajabu gani wakati hamna law of nature iliyo au itakayokuwa violated?

Mie nikafikiri mtu kapasua bahari na kutengeneza njia ya gari mpaka Zanzibar.
 
Back
Top Bottom