Uzinduzi wa "tanzania teachers network(ttn)" jijini mwanza -tar;05/10/2012

Jul 23, 2012
8
0
Tunaomba wadau wa maendeleo Tanzania kuchangia mawazo chanya ili kuboresha uzinduzi huo wa kitaifa siku ya tar;05/10/12..jijini Mwanza..TTN ni taasisi mpya ambayo imeanzishwa na kusajiliwa na walimu wenyewe kwa dhumuni la kuboresha fani ya Ualimu Tanzania...Tazama Katiba ya TTN apo kwenye attachments!..na tembelea TTN facebook page kwa maelezo zaidi!Wote mnakaribishwa !!
 
Attachments

  • TTN const.doc
    154 KB · Views: 64
Naona ndo ahadi inatekelezwa ya kuongeza nafasi za ajira! Ina maana wizara ya elimu, utumishi, tamisemi, tsd, cwt vyote hivi vimeshindwa mpaka kianzishwe chombo kingne, acheni kuuhadaa umma.
 
hii TTN,wats ur mission and vision statements,,,,ni jambo jipya sana,,,itakuwa vyema sana ukitueleza kuhusu hii TTN,na kwa nini watu wawe members wenu,kuna lipi jipya na bora zaidi ya CWT,,,je mmesajiliwa?....ni hayo tu
 
halafu hiyo katiba umlitunga na nani, ni yani kwa ajili ya nani, na ni ya nini, mnatafuta ulaji ee? CWT wanakula 2% TZ nzima wametulia tulii wanakula 2parcent, ikifikia uchaguzi wanaibuka na migomo, kwa sasa wame paralyse. wajinga sana nyinyi, oo nyiny mnafanya ujanja kwa wajinga, bima ya afya walibuni kwa sasa wanavuna, walimu vjijini bima ya afya wapi na wapi.
 
mission,vission na mengine mengi yapo ndani ya katiba,,,plz visit TTN in facebook for more details!
 
halafu hiyo katiba umlitunga na nani, ni yani kwa ajili ya nani, na ni ya nini, mnatafuta ulaji ee? CWT wanakula 2% TZ nzima wametulia tulii wanakula 2parcent, ikifikia uchaguzi wanaibuka na migomo, kwa sasa wame paralyse. wajinga sana nyinyi, oo nyiny mnafanya ujanja kwa wajinga, bima ya afya walibuni kwa sasa wanavuna, walimu vjijini bima ya afya wapi na wapi.
Pole sana ndugu najua una machungu sana lakini iposiku mambo yataenda sawa.katiba hii imetungwa na mwalimu kwa ajili ya mwalimu wa Tanzani..imedhamiria kumkomboa mwalimu kwa vitendo na bila malipo yoyote..watanzania waache tabia ya kulalamika sana bila kuchukua hatua za vitendo..karibu TTN..visit TTN in facebuk for more details!
 
hii TTN,wats ur mission and vision statements,,,,ni jambo jipya sana,,,itakuwa vyema sana ukitueleza kuhusu hii TTN,na kwa nini watu wawe members wenu,kuna lipi jipya na bora zaidi ya CWT,,,je mmesajiliwa?....ni hayo tu

TTN imesajiliwa..si chombo cha watu kulalamika tuu..ni chombo cha matendo..karibu TTN uwe mmoja wa wakombozi..visit TTN in facebuk for more details!
 
Naona ndo ahadi inatekelezwa ya kuongeza nafasi za ajira! Ina maana wizara ya elimu, utumishi, tamisemi, tsd, cwt vyote hivi vimeshindwa mpaka kianzishwe chombo kingne, acheni kuuhadaa umma.

Vyombo vyote ulivyovitaja ni tofauti na TTN...TTN is a teachers professional body for teachers like Tanganyika Law society for Lawyers,,Tanzania board of engineers for engineers,Tanzania Press clubs for journalists etc,etc,,waanzilishi wa TTN ni walimu wenye fani nyingi..mawakili,,accountants,,hrm etc,,lakini wote wamepitia kazi ya ualimu ndio sababu chombo hiki ni bure na huru kujiunga..vitazame upya vyombo ulivyovitaja,,,vilianzishwa na nani na vinafanya nini?visit TTN in facebuk for more details..welcome TTN u might the one we need..any person can be a member as far as he has something to help teaching profession..karibu kwenye uzinduzi mwanza!
 
Back
Top Bottom