Je< tutafikaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je< tutafikaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by J.Mindu, Sep 25, 2012.

 1. J

  J.Mindu Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Athari za ustaarabisho zinailinda mbegu ya ukoloni nchini na barani Afrika, inatuzuia kujirudishia taifa letu, uraia wetu na uzalendo wetu. Kisa hatuna elimu ye uzalendo nchini/barani Afrika. Katika utafiti wangu wa miaka 14 nimeigundua elimu hiyo ya Uzalendo, niungeni mkono tuiimarishe, tufundishane, tuendeshe awamu ya tatu ya ukombozi wa fikra zetu nchini, ndipo tufike kulikokusudiwa na walioutafuta uhuru wetu, la sivyo dalili zinaonyesha tutajirudisha kwenye ukoloni/utumwa. Hatimae kampeni hii iwe ya Afrika yote.
   
Loading...