Nani mmiliki wa city radio?

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Kuna kituo kipya cha radio kimefunguliwa na kipo ktk majaribio? Ningependa kujua mmiliki wake. Mwenye info update mi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
halmashauri ya jiji la dar es salaam.
hata ww ni mmiliki pia kama uko dar.
156579_515384131808489_731971313_n.jpg
301249_511205958892973_2043442838_n.jpg
Felix Kaombwe wa Radio Maria akiwafanyia installation ya programs.
580052_504578646222371_1755098496_n.jpg
 
Unataka kazi huko? Au umbea tu uwaadithie shoga zako kuwa unamjua mmiliki?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kumbe hata mimi ni mmiliki, ngoja niwafuate wanipe changu kabisa maana hivi vitu vya umma siku si nyingi utasikia ubabaishaji umeanza.
 
Back
Top Bottom