Sheikh Karume yu wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Karume yu wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masopakyindi, Sep 25, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM.
  Hongera Mwenyekiti Jk.
  Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta mitafaruku kama waleee ndugu zetu wa pipooz!!
  Lakini katika picha hii hapa chini najiuliza Sheikh Karume yu wapi?[​IMG]
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  jamaa hakuwaga presidential material,alipewa urais sababu ya usultani wa kibongo,kuongea kwenyewe hawezi,ccm hawawezi kumtumia huyu
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  yule alianza kuitosa ccm hata kabla hata hajatoka madarakani,kaiituliza zake mwenyewe ana pata kinywaji kwa raha zake huko zenji
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Anafundisha watu havard kunyoa mustache
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  Amechoshwa na haya mapambio mnayoimba ambayo hayaendani na vitendo.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Amechoka hiyo minguo ambayo inafanana na sumu
   
 7. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Kama Mama Yake anapinga muungano waziwazi, huenda hakualikwa na watamnyang'anya umakamu soon
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Naona hapa panakaribia uhalisia wa mambo!
   
 9. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,803
  Likes Received: 2,577
  Trophy Points: 280
  Anakula pension taratibu Mbweni. huku ikitafakari kugombea au kutogombea Urais wa muungano 2015.
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Hivi na huyu baada yakumaliza muda wake kahama chama??
  [​IMG]
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Karume alikuwa airport juzi ijumaa akilekeka uk ndege ya BA ikaharishwa akaro ndo na emirates jioni kishachoshwa na siasa uchwara yupo Zake UK anakula Biere, wine na viuno
   
 12. Mnyamwezi.Zanzibari

  Mnyamwezi.Zanzibari Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatari sana, Anaimarisha kundi lake la UAMSHO, ndoto yake aunde Muslim Brotherhood yake, juzi aliwanong'oneza Uamsho walegeze mwendo kunako kona ila Safari iendelee, keshawapachika wastaafu wenzake wote na Uamsho
   
Loading...