Uzembe unagharimu sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe unagharimu sana.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ZENITH, Sep 25, 2012.

 1. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 692
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Ni hapo juzi juzi tu tumetoka kumzika traffic police mmoja maeneo ya dumila morogoro.Sababu ya kifo chake ni ajali ya pikipiki kugongana.Huyu polisi alikuwa akiendesha pikipiki isiyokuwa na taa mida ya usiku.Hii ilipelekea pikipiki ya askari kuvaana uso kwa uso na pikipiki nyingine na hatimaye kupelekea kifo cha huyu askari.
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,751
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kazi ya mungu haina makosa
   
Loading...