Huu ni Uhuni au Umbumbumbu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni Uhuni au Umbumbumbu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bazazi, Sep 25, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Hebu angalia Wabongo walivyo Wahuni/Mbumbumbu! Aibu


  • Kutojua LUGHA

  • Standard Passed & Date: IV 2008
  • Name of School: Salama Sec School.
  • Course Taken: TRAINING FOLONTIER MLITARY

  • Kughushi Vyuo

  • Qualification: Advanced Diploma in Public Administration (ADPA).
  • Institution:University of IDM Mzumbe.
  • Date Obtained: 1994.

  • Kughushi vyeti bila Kuzingatia Umri.

  • Date of Birth: 1966
  • Qualification: Advanced Diploma in Certified Accountant (ADCA).
  • Date Obtained: 1984.

  • Kutojua Lugha Nyepesi

  • Name of Next of Kin:Baradhuli Bint Bazazi
  • relationship: Douter

  Wadau tunaelekea wapi na hii elimu yetu?

  Nauliza tu Jamani!!!!


  Ndimi Bazazi!
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  nilishawahi soma document moja ya kishoka wa umeme nilivunjika mbavu!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha, umenivunja mbavu hapa ofisini imebidi niisome mbele ya wenzangu, yaani ni vicheko kila mtu anashangaa. duh! hivi haya ni kweli ama umetunga tu? kweli yapo haya jamani siamini aaisee.
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  @gfsonwin ni kweli kabisa nilichokiandika kwani nimekishuhudia, hakuna kutunga.

  Swali langu la Msingi, Tunaelekea wapi?

  Ndimi Bazazi!
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kuna hii "....I putted my all efforts to convins him but where..."
   
 6. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  kazi tunayo Bandugu!
   
 7. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  Huu ni uhuni wa kimbumbumbu
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  tunaelekea kutawaliwa kifikira na kielimu mwisho wake tunarudi kule alikotutoa nyerere kwenye kutandikwa viboko na wakoloni.

  bt ni kipimo kwamba sio wote wanaoenda shule wanaelimika, na sio wote wanaobebwa wanabebeka.
   
Loading...