Hili linawezekana Tanzania tu!..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili linawezekana Tanzania tu!.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Sep 20, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Wadau nchi yetu imeingia kwenye kitabu cha orodha ya maajabu baada ya wanafunzi wa Darasa la saba kufanya mtihani wa Hesabu wenye majibu ya kuchagua......a..b..c..d nakumbuka nilipokuwa nasoma mimi mtihani wa hesabu ukiandika jibu tu bila kuonyesha njia hupewi marks...sasa hii Tanzania yetu inaelekea wapi?? Nani wa Kulaumiwa????
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hhaa, hhhaa tanzania tuu utayakuta hayo
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huo utaratibu nadhani umeanza mwaka jana.
   
 4. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  inaelekea kwenye kutengeneza generation kutoka daraja la watu masikini na kati isiyoweza kuja kuhoji juu ya mustakabali wao na kuwa watawaliwa siku zote. Hili ombwe la uongozi lililopo sasa linajiwekea mazingira ya vizazi vyao kushika hatamu ya uongozi daima kwa kuweka mazingira mabovu ya elimu kwa watu wa kada ya chini huku watoto wao wakisoma shule bora zinazoendana na mabadiliko ya Dunia. Na siri kubwa ya mtihani wa hesabu ni kupanua ubongo wa mtu na kumfikirisha zaidi. Na kwa bahati mbaya huyu mtoto akitoka hapo anaenda kuuliwa zaidi ktk shule za kata zisizo na walimu wa kumsaidia...........WATAWALIWA WATAENDELEA KUTAWALIWA NA WATAWALA WATAENDELEA KUWA WATAWALA
   
 5. C

  CAY JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hesabu za kuchagua zilikuwepo hata zamani.Kama umesoma zamani hukumbuki kulikuwa na kitabu fulani cha njano kilikuwa kinaitwa"jiandae vema kumaliza elimu ya msingi".Sikumbuki kilitayarishwa na nani.Ila kilikuwa kimesheheni past papers za miaka ya nyuma ,na zilikuwa na hesabu za kuchagua.
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  unaumiza kichwa kisa nini? hawa ngoja waje sekondari wakutane na nyanga ndipo watakapojua elimu haifededwi inatakiwa iwe kweli. manake hata asipokuonyesha njia ila akapata jibu huwez kujua kaotea ama kaibia. nakuhakikishia wengi tu watakulana chabo kama sio kuambiwa majibu na wasimamizi wao mwisho wa siku wengi watafaulu.

  jamani mimi na ualimu wangu nimejikuta naichukia elim ya tanzania sana tu. wanadai teknolojia lkn technolojia isiyokuza creativity and understanding sio kabisa kwani kila mtu anaweza kubuni ama kuibia.

  huku sekondari quadratic equation lazima uishuke nzima kama ilivyo ama log lazima ushuke kama ilivyo tena ukumbuke na tuprinciple twake huko ndani sasa kama toka msingi mtu hana uzoefu what do you expect? Logwa sasa wewe mwal uwaandikie wizara kucriticise hoja yao hii utakiona cha mtema kuni. watakagua hadi daftar la mahudhurio yako shule na la notice ili wakukute na kosa upewe karipio chezea tz wewe??
   
 7. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapo watakuambia kuwa elimu imepanda kiwango !!
  Enzi zetu sisi, kwenye mtihani wa hesabu, ulikuwa unaambiwa uonyeshe kwanza njia ya kupata jibu kabla ya jibu lenyewe, maana haikutakiwa kuonyeshe jibu peke yake. Ukionyesha jibu peke yake unaambiwa umeibia.
  Njia ya kupata jibu ilikuwa na marks nyingi kuliko jibu lenyewe. Maana kujua njia sahihi ya kupata jibu ndio kuelimika kwenyewe !!
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nambie mwalimu mwenzangu, since then i have become a watcher, a passive player, kila jambo wanaamua wanasiasa, nitakaloambiwa fanya ntafanya mwisho wa mwezi ntaenda benki maisha ya wanangu yanasonga mbele, no room for independent minds in Tz. twendeni tu hivihivi, tutarajie maajabu gani pale akili ndogo inapoongoza akili kubwa
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  mimi nipo tu mwl mwenzangu, naona huruma sana manake kwa stail ya mitihani hii ya kuandika herufi sijui sekondar tutapokea nini. kama walikuwa wanaandika na bado tunapokea wasiojua kusoa na kuandika sasa sembuse hawa wa herufi? si ndo watafaulu darasa zima hata wale ambao ni below low scorers? Kama ulivyosema mie bora mwisho wa mwez ATM inanipa mkwanja basi.

  kwasasa na mmi nimeamua kuwa mbinafsi nakomaa na wanangu japo waweze kupambanua mambo na kuyaelewa basi hao wa serikali naiachia serikali.
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  nakumbuka njia ya kupata jibu ndio ilikuwa na Marks nyingi kuliko jibu lenyewe......
   
 11. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Asubuhi ya leo nlikuwa naskiliza Radio One, nikamskia NW wa Elimu Mh. Mulugo akisema wanafunzi wamepewa na working sheets za kuonyesha calculations na zinakusanywa.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Jana niliumia sana kusikia habari hii.......sijui ni kizazi gani tunakiandaa kisichojua hesabu!!
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  those are politics bana, jiulize msahihishaji ni komputer na imesetiwa imark correct letter sasa hizo working sheets zinasahihishwaje? na je zina tija gani kama mtihan unahitaj jibu wala sio njia? hivi unakumbuka karatasi za zamani zilitengwa sehem ya swali , kazi na jibu. msahihishaj anasahihisha yote papo hapo.
   
 14. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Everything nowadays MUST and SHOULD be made as simple as possible. That is the fundamental rule of this modern world. Wewe angalia hata at our homes, microwave hufanya kila kitu, blender?? Toaster?? Azam chapatis?? n.k, n.k, n.k. Sasa hivi hamna kuumiza kichwa bana..
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu katika kupambanua mambo ama uwezo wa kufikiri constructively hakunaga short cut bana. sijawah kuona mashine inayokusaidia kuwaza
   
 16. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  True, ila aise mambo yamebadilika sana sasa. Unajua hata ukijaribu kufuatilia technology trends, utagundua kinachoangaliwa kwa umakini kwa sasa ni products, na sio processors.
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  kwahiyo hapa tunaangalia product in what aspect? quality product ama quantity? hivi ulishawah kuona kijana wa form hawez kucomprehend a single paragraph? ama anapewa afanye summary anashindwa? what do you expect?

  mimi na umri wangu huu mambo mengi sana nime machinelize lkn bado papo ninapohitaj kutumia akili tena niwaze kwa usahihi sana ili kukwepa madhara sasa tusipowa train wanetu hivyo tutegemee nini?

  naamin unaendesha gari tena automatic ambalo wewe kazi yako ni kukanyaga accelerator na break but still you have to use brain ili usipate ajali sasa unategemea good driving skills uekewe na mashine ama ujiekee mwenyewe?
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  makofi kwako mwalimu!!!
   
 19. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nimekupenda Bure!!...........
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  asante sana

  mmmh! naogopa kusema.
   
Loading...