Rais kuwapandisha vyeo maofisa wakuu wa jeshi kesho

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Feb 10, 2008
815
698
Kesho rais jakaya kikwete atawapandisha vyeo maofsa wakuu wa jeshi kwa vyeo vya namna mbili ikulu ya dar es salaam,

Kuna maofsa wakuu 14 watapanda kutoka brigadier generals kua major generals,

Wengine 33 watapanda kutoka vyeo vya u-kanali kuwa brigadier generals..,

mabadiliko haya ni taratibu za kawaida za jeshi na hua zinazingatia vigezo vyote na pia mahitaji ya jeshi ya wakati husika na pia kuongeza ufanisi wa majukumu mbalimbali.

zaidi ya yote, kamanda mtata na mpenda vita brig.gen.(kwa sasa) Chacha Igoti atapanda cheo na kua major general, ikumbukwe huyu ndie aliongoza vita ya ushindi commoro.jioni njema.

Source: MOSHE DAYAN
 
Aaaaaa wanaangaliana kupandishana wenyewe kuna askari kibao wamefanya kaz ngumu na hatarishi lakn wanapandishwa vyeo hao wanaoshinda maofisin inanikera sana wapandishe vyeo waliokuwa vitan kama huyo shujaa wetu aliyookoa visiwa vya commoro siyo hao wengne ipo siku watamgeuka.akasome shairi la "dagaa wachachamaa"
 
Una uhakika kwamba askari unaowataja hua hawapandishwi vyeo!??

Kuna vyeo ni lazma maofsa wakuu waapishwe na rais,, ni utaratibu tu,
 
haya..., majina ya maofsa wakuu waliopandishwa vyeo na rais..., effective from today..,

KUWA MAJOR GENERAL
1.Brig.gen rm muhuga(ataongoza JKT)
2.brig.gen ga mwakipunda
3.brig.gen pp mlowezi
4.brig.gen cm jitenga
5.brig.gen jf kapwani
6.big.gen lp kingazi
7.brig gen cm muzanila
8.BRIG.GEN DC IGOTI (mtemi)
9.brig.gen ih ipanda
10.brig.gen as mwabulanga
11.brig.gen vk muritaba
12.brig.gen kg msemwa
13.brig gen ee kyungu
14.brig gen pa rwegasira

Waliopanda kutoka u-kanali kuwa brigadier generals wapo 33

RAIS, WAZIRI WA ULINZI NA JKT PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI, WANAWAPONGEZA SANA NA KUWATAKIA KHERI KATIKA VYEO VYAO VIPYA NA MADARAKA WATAKAYOPANGIWA.
 
muhuga ndo atakua mkuu wa JKT (CNS),, akirithi kutoka kwa ndomba(C of S)
 
Kesho rais jakaya kikwete atawapandisha vyeo maofsa wakuu wa jeshi kwa vyeo vya namna mbili ikulu ya dar es salaam,

Kuna maofsa wakuu 14 watapanda kutoka brigadier generals kua major generals,

Wengine 33 watapanda kutoka vyeo vya u-kanali kuwa brigadier generals..,

mabadiliko haya ni taratibu za kawaida za jeshi na hua zinazingatia vigezo vyote na pia mahitaji ya jeshi ya wakati husika na pia kuongeza ufanisi wa majukumu mbalimbali.

zaidi ya yote, kamanda mtata na mpenda vita brig.gen.(kwa sasa) Chacha Igoti atapanda cheo na kua major general, ikumbukwe huyu ndie aliongoza vita ya ushindi commoro.jioni njema.

Source: MOSHE DAYAN
Hao majenerali wengi hivyo ni wanini?tunajiongezea gharama za kuwatunza bila sababu,zamani meja jenerali walikuwa wachache sana vitengo vilikuwa vikishikwa na brigedia jenerali tena walikuwa wachache!lakini hizi nafasi za vyeo vya juu katika jeshi kuanzia brigedia na meja generali siku hizi vimepitiliza sana nchi ni masikini lakini tuna jitwisha mizigo ambayo inaongeza gharama katika kuwahudumia
 
Back
Top Bottom